Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 501 to 510 of 2266.

  • 22 Mar 2023 in Senate: Lakini polisi wenyewe walikuwa wa kwanza kutupa teargas mimi nikiwa hapo. Tukawafuata na tukawaambia hata wakaomba msamaha-- Alimwambia yule polisi asitupe teargas kwa watu ambao hawana silaha, hawapigi kelele wala hawafanyi fujo, na tukaingia. view
  • 22 Mar 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, tuliweza kuingia pale KICC ambapo kuna ofisi za Maseneta. Tuliweza kusimama pale na kuongea kidogo na watu waliokuwa pale. Hakukuwa na fujo hata kidogo. Kitu cha kushangaza ni kwamba ndani ya KICC Wabunge hawatembei wakiwa wamebeba bunduki. Mimi mwenyewe nilikuwa mmoja wa wale watu, na nilikuwa sina silaha wala sijui kutumia hata hiyo silaha wala sina haja nayo. Tulipigwa teargas, watu waka--- view
  • 22 Mar 2023 in Senate: Huu ni wakati mgumu sana kwa waislamu. Ni wakati ambao wamejiweka mbele ya Mwenyezi Mungu. Mhe. Amina Munyazi alionyeshwa madharau ambayo haiyajaonekana ndani ya hii nchi kwa mwanamke wa Kiislamu. view
  • 22 Mar 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, hili si jambo la kuchezea namna hiyo. Hata kama wewe ni askari na hauheshimi dini ya Kiislamu, sisi tunakwambia kitu kimoja, wewe askari uliyemvua nguo, na wewe ulikuwa mama, heshimu dini ya kiislamu. view
  • 22 Mar 2023 in Senate: Kumalizia, ninasema ya kwamba, heshima sio utumwa. Leo tuko pande hii, kesho tunaweza kuwa upande ule. Viongozi wa upinzani, Baba Raila Odinga, Martha Karua, Kalonzo Musyoka, Eugene Wamalwa, Jeremiah Kioni na Wajakoyah, lazima wapewe heshima ndani ya hii nchi. Ni lazima wapewe heshima--- view
  • 22 Mar 2023 in Senate: Unaweza kunipatia dakika moja nimalize? Mimi ni kiongozi. view
  • 22 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kwa muda wa takribani wiki tatu na nusu hivi zilizopita, hili Bunge la Seneti linahairishwa kabla ya wakati wake kwa kukosa Maseneta wa kufanya kazi ambayo wanatakiwa kufanya. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus