22 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, kwa heshima na taadhima, nasimama kwa Hoja ya nidhamu. Je, ni sawa Seneta--- Ninapozungumza, ingekuwa vyema Seneta na kiongozi mwenzangu kuketi chini.
view
22 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, kulingana na Kanuni zetu za Kudumu, je, ni vyema Seneta ambaye anaheshimiwa ndiposa akateuliwa na Chama cha United Democratic Alliance (UDA), kwa sababu waliona kuwa anafaa nafasi hiyo, kusimama mbele yetu na kuongea bila kuvaa viatu ama soksi?
view
22 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, je, ni vyema Sen. Nyamu kuanza kuongea mbele yetu bila kuvaa viatu? Je, anaruhusiwa kuongea akiwa ‘miguu chuma’ mbele ya Maseneta wanaume na wanawake?
view
22 Mar 2023 in Senate:
Madam Temporary Speaker, with tremendous respect, the Minority side has a right to also request for points of order, but what we are witnessing now is not proper. Members in the Minority Side are not being accorded an opportunity to make points of order. You have only allowed one side---
view
22 Mar 2023 in Senate:
Yes, Madam Temporary Speaker, the Senate Deputy Minority Leader, the Deputy Minority Whip, and other Senators from
view
22 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
22 Mar 2023 in Senate:
this side would also like to make their points known, but you are refusing. I do not think that this is proper.
view
22 Mar 2023 in Senate:
Bi Spika wa Muda, ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii.
view
22 Mar 2023 in Senate:
Tafadhali ndugu yangu, nikiwa hapa ninaongea, tuheshimiane---
view