18 Apr 2023 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I do not know who has given that kind of information. I do not know whether it is the Clerks-at-the-Table here. I was here in the House when this was happening and my understanding was that my sister, Sen. Orwoba, rose on a point of order. It is at that time that Sen. (Dr.) Oburu gave a chance for that point of order as the procedure requires. However, immediately after the change of Chair, the minutes were still on. I think Sen. (Dr.) Oburu should have been given a chance to conclude instead of being told his ...
view
18 Apr 2023 in Senate:
I am just informing you.
view
13 Apr 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Swali hili alilouliza ndugu yetu, Sen. Wambua, ni swali muhimu kwa wakati huu. Tunaelewa ya kwamba huu ni wakati mgumu sana kiuchumi. Pia, Serikali yetu imekuwa na shida ya kuweza kulipa madeni yake ya nje na madeni mengine tofauti na hata mishahara ya wafanyikazi. Hilo ni jambo ambalo linajulikana sana. Swali hili ni muhimu kwa sababu linataka kujua ni pesa ngapi ambazo shirika hili la KRA limeweza kukusanya katika kipidi hicho. Tumeona wamekuwa wakigeuza viongozi pale juu lakini mpaka sasa hatujui ni pesa ngapi zilitolewa kuweza kulipa madeni? Swala lingine ni kwamba, katika muhula huu wa uchumi ...
view
12 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika, kwa heshima na taadhima, najiunga nawe kuwakaribisha wageni wetu kutoka kaunti tatu za nchi yetu ya Kenya. Karibuni sana wageni kutoka Elgeyo-Marakwet, vile vile Kakamega; Ingoo, kule kwa Sen. (Dr.) Khalwale na hatimaye wageni kutoka nyumbani . Enyeko.
view
12 Apr 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, as you are aware, enyeko ni kusema “wenyewe huko” ni kwamba unawasalimia kisawa. Pia, Kiswahili unaweza kusema wenyewe huko. Sikuendelea kusema hamjambo, nimesema tu wenyewe huko? Nafikiria imeeleweka hapo. Bw. Spika, ningependa niendelee. Nakushukuru sana kwa kunikaribisha na mimi niweze kuungana na wewe kuwakaribisha hawa ndugu zetu. Nina matumaini makubwa ya kwamba vile ambavyo wamekuja hapa ndani ya Bunge letu la Seneti, wanaweza kujionea kabisa utendakazi wa Bunge la Seneti ulivyo. Nina uhakika wameweza kukutana na Maseneta kadha kadha, nikiwa mmoja wao anayewaelewa sana. Nina matumaini ya kwamba, wakirudi nyumbani taratibu za Bunge la Seneti watazokuwa wameona ...
view
12 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
12 Apr 2023 in Senate:
Hapa hatuna siasa zile za kulumbana, za juu ambazo watu hawaelewani kama ndugu. Hapa tunafanya ile bipartisan debate kisha tukiona pande fulani kuna suggestion nzuri zaidi, huwa tunakubaliana. Hata hivyo, kwa mara nyingi utakuja kuona kwamba misimamo mikali pia huwa tunaifanya ndani ya Bunge letu la Seneti. Kwa hivyo, tuna uhakika mmejionea na mtawajibika. Tuko na Serjeant-At-Arms hapa ambao wanafanya kazi kubwa sana. Nina hakika mkirudi nyumbani yale mliojifunza hapa mtaweza kuyatekeleza kule nyumbani. Asante sana, Bw. Spika.
view
22 Mar 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
22 Mar 2023 in Senate:
Mr. Speaker Sir, I beg to give Notice of a Motion on adjournment of the House to discuss a matter of urgent national importance. I beg to give Notice of the following Motion - That, pursuant to Standing Order No. 37, the Senate do adjourn to discuss a matter of utmost urgency and national importance, namely, police brutality, arbitrary arrests, and excessive use of force by the police during the demonstration on Monday 20th March, 2023. I thank you.
view
22 Mar 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view