16 Feb 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
16 Feb 2023 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika.
view
16 Feb 2023 in Senate:
Communication from the Chair.
view
16 Feb 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, kwa heshima na taadhima, jana, tulikuwa hapa na pia wewe ulikuwa hapa. Uliweza kusikia ya kwamba kuna Ujumbe ambao utawasilishwa ndani ya Bunge la Seneti kuhusiana na upande wa Upinzani na ile ratiba walikuwa wamekuletea ya megeuzi ya uongozi ndani ya Seneti inayohusika na upande---.
view
16 Feb 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
16 Feb 2023 in Senate:
Bw. Clerk, ni heshima kama ninaongea na Naibu wa Spika, ingekuwa vizuri ungekaa chini kwanza ukangoja nimalize alafu uende ukaulize. Heshima si utumwa.
view
16 Feb 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, ndio nawakilisha sasa lakini nimeona ukiongea na nikaona masikio yako hayanisikizi vizuri ndio sababu ninaleta hii hoja. Bw. Naibu Spika, nikiwa naongea na wewe, ningependelea Kiongozi wa Walio Wengi anyamaze. Angoje niongee nimalize na yeye aweze kuongea kulingana na Kanuni za Kudumu za Bunge la Seneti.
view
16 Feb 2023 in Senate:
I should be heard in silence.
view
16 Feb 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, jana tuliambiwa na Spika - na wewe Naibu Spika ukiwepo ndani ya Seneti – kwamba, hivi leo, taratibu ambayo ilichukuliwa na upande wa Walio Wachache itaweza kuletwa hapa kama Ujumbe kulingana na yale mageuzi ambayo Upande wa Walio Wachache, waliyaleta ndani ya Seneti. Bw. Naibu Spika, ninaomba kusikizwa kwa kimya. Jana tulipokuwa hapa, Spika alituahidi ya kwamba, leo atatoa Uwasilisho kutokana na malalamishi yaliyotolewa na Upande wa Walio Wachache. Bw. Naibu Spika, wewe ulikuwa hapa wakati ahadi hiyo ilitolewa. Uwasilisho wenyewe ulitakiwa kutoa mwongozo kutokana na mageuzi yaliyoletwa hapa Bungeni na Upande wa Walio Wachache. Katibu amesimama ...
view
16 Feb 2023 in Senate:
I was sitting with him when I handed the letter.
view