Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 691 to 700 of 2266.

  • 16 Nov 2022 in Senate: Point of Order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I have a Statement which was approved. I thought I would be accorded an opportunity--- view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I am not in any in way challenging your authority as suggested by Sen. Cherarkey. I think it is just an issue of oversight. Maybe I can do it tomorrow because I do not mind. view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Asante Bw. Spika. Sen. Cherarkey is my brother. So, it is quite okay. view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Bw. Spika, nasimama kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu, Kipengele cha 53, kuomba Taarifa kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Mazingira na Mali Asili, kuhusu ubomoaji wa nyumba na kufurushwa kwa wakazi wa Kijiji cha Pindukiani, Wadi ya Ganda katika Eneo Bunge la Malindi, Kaunti ya Kilifi. Katika Taarifa hiyo, Kamati iangazie yafuatayo- (1) Sababu zilizopelekea ubomoaji wa kiharamu ama kinyume na sheria kwa makazi ya familia ziadi ya 200 katika Kijiji cha Pindukiani, Wadi ya Ganda, Eneo Bunge la Malindi, katika Kaunti ya Kilifi. view
  • 16 Nov 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 16 Nov 2022 in Senate: (2) Kwa nini ubomozi huo ulitekelezwa kinyume na agizo la Mahakama Kuu, lililosimamisha ubomozi hadi kesi ya mzozo kuhusu ardhi hiyo itakapotatuliwa. (3) Umiliki sahihi wa hati miliki kutoka kwa wakazi wa eneo hilo na iwapo mhusika aliyebomoa alikuwa na kibali kutoka kwa mahakama kuidhinisha utekelezaji huo. Bw. Spika, kwa kufafanua zaidi, ningependa kujua kama alikuwa na order ya kubomoa nyumba katika kipande hicho cha ardhi ama alivamia kijiji kingine ambacho watu wana hati miliki na kuanza kubomoa nyumba. (4) Ningependa wanakamati wazuru Kijiji cha Pindukiani na kubaini kama sehemu hiyo inayodhaniwa kuwa katika eneo ambapo nyumba zilifaa kubomolewa. Je, ... view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Nampa kongole Seneta wa Tana River, Sen. Mungatana, kwa kuleta Hoja hii. Kwanza, tangu tulipozaliwa, tunajua Tana River ni Kaunti ya Wapokomo. Ilibainika wazi Wapokomo ndio walioishi humo. Kwa sababu ya mchanganyiko, sasa tunakubali kwamba Tana River sasa imepanuka na vizazi vimekuwa vingi. Bw. Spika wa Muda, Mto Nile unaanzia Afrika Mashariki, kutoka Ziwa Victoria. Hata hivyo, hakuna nchi ambayo inapata faida ya huo mto isipokuwa Misri. Sisi sote hapa tumetembelea Misri na kuona wanafanya mambo mengi sana kutumia huu Mto Nile. Kwa nini hatuwezi kufanya hivi? Ni kwa sababu ya vigezo vya sheria za ... view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Siku zote, maji mazuri huwa na nguvu yanapotoka juu. Ni jambo la kusikitisha kwamba hivi leo, eneo la chini la Mto Tana, hasa mji wa Kipini, unaweza kupotea wakati wowote. Kipini ndio ulikuwa mji wa kwanza. Mji wa Hola ni wa juzi tu. Nilikuwa huko na ni jambo linalosikitisha kuona mji wa Kipini uko kidengudengu. Mji huo uko mwisho kwenye cliff . Sio busara kuruhusu jambo kama hilo. view
  • 16 Nov 2022 in Senate: Ni muhimu Serikali yetu iheshimu mikataba ya kimataifa ambayo tumejumuisha katika sheria zetu. Wale wanaoishi katika maeneo ya chini ya mito, wapewe heshima zao. Serikali nayo ifanye vyovyote vile kuona maji mazuri yamewafikia wale watu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus