18 May 2017 in National Assembly:
To hell with FORD(K)!
view
18 May 2017 in National Assembly:
To hell with FORD(K)!
view
17 May 2017 in National Assembly:
Mhe. Spika, ukiangalia hali Wabunge walivyo, hawana nia ya kuendelea na Hoja kama hii. Najua hii Hoja ni ya mbinu ambazo zinatakiwa kutumiwa. Wabunge wamechoka, wamelemewa; wanataka haya mambo yaishe twende tufanye mambo mengine. Lakini, ukweli wa mambo ni kuwa hii Hoja ya mbinu imeletwa hapa kwa kutokubaliana kwa Kamati ile iliyokuwa imeundwa; inatuletea shida bure tu. Naomba tuangalie sheria zetu kwa sababu hili Bunge ndilo linatakiwa kutatua hili tatizo, vile Mwenyekiti amesema. Kwa hivyo, tusianze kuzungushana merry-go-round kila pahali. Naomba tukubaliane huu muda upunguzwe vile tulivyoomba. Tukishamalizana nao, ikileta shida hivyo hivyo, tuamue kwa hili hili Bunge. Labda, Wabunge ...

9 May 2017 in National Assembly:
Nimesikia maamuzi, muongozo na mwelekeo wako kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Makadirio, Mhe. Spika. Naomba nichukue nafasi hii nitoe masikitiko yangu kwa Kamati ya Pamoja ya Mabunge yote mawili iliyoshindwa kuafikiana kuhusu Mswada huu. Inamaanisha kaunti zetu zitaanza makadirio yao zikiwa zimechelwa, hapo mwakani mwezi wa saba kama hatutakuwa waangalifu. Mhe. Spika, ni muhimu makadirio haya yafike mapema. Naomba nihimize Mwenyekiti wa Kamati ya Makadirio ahakikishe kuwa wamemaliza haya umeyaagiza wayamalize. Nina The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
9 May 2017 in National Assembly:
imani hatutakuwa na changamoto yoyote hapa Bungeni na Seneti pia haitakuwa na shida ili makadirio haya yafike mapema. Kama ujuavyo, wengine wetu tuko katika harakati ya kukunja jamvi kufuatana na haya makadirio huko mbele.
view
9 May 2017 in National Assembly:
Yakichelewa, inamaanisha wengine wetu hatutaweza kufanya kazi. Kwa hivyo, ni muhimu na ni muhimu. Nasisitiza kuwa makadirio haya yamaliziwe mapema ili tuweze kufanya kazi kwa muda unaofaa. Naomba nihakikishie Bunge hili kuwa wale ambao tuko hapa na tunatarajia kwenda huko kwingine, hatutaaibisha hili Bunge. Hatutaaibisha hili Bunge kwa kuwa Magavana wa kuiba ama wakuletwa hapa kwa Seneti. Tunaenda huko kutumikia wananchi. Naliheshimu hili Bunge na nitaendelea kuliheshimu Bunge la Kumi na Moja. Mmenifunza mengi. Sitawaaibisha.
view
9 May 2017 in National Assembly:
Mhe. Spika, naomba nitoe mchango wangu kuwa hiyo ndio ilani ninayotoa. Asante, Mhe. Spika.
view
29 Mar 2017 in National Assembly:
( Inaudible )
view
29 Mar 2017 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view