2 Nov 2011 in National Assembly:
I think that does not apply now, but all the same I will invite the Minister to speak.
view
19 Oct 2011 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, could the Assistant Minister explain to this Parliament how come that there was a programme on infrastructural funds for the Ministry of Education primary schools and they disbursed the funds in the first instance, then they have stopped disbursing the funds after saying they will continue for two, three, four years? Why have they stopped disbursing funds to certain primary schools?
view
18 Oct 2011 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, among the reasons which have been given by the Minister for the depreciation of the Kenya Shilling is the increase in oil consumption and the importation of maize. Why did we have to import maize when we have a lot of maize in the country with our farmers, especially in the Rift Valley?
view
12 Oct 2011 in National Assembly:
Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, naomba nami nichukue nafasi hii nitoe mchango wangu kwa Hoja hii ambayo imeletwa na Mhe Otichilo, na vile tulivyokubaliana na wenzangu, ingekuwa imeletwa hapo awali kwani nchi hii imekuwa nyuma kwa muda mrefu, tukiangalia ujuzi wa angani.
view
12 Oct 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, si eti hatuna ujuzi wa angani lakini Serikali imezembea katika kuangalia taaluma ambazo vijana wetu wanazo. Tukiangalia vijana wetu nchini tutaona kuwa wakipewa nafasi ya kuweza kujihusisha na ujuzi na ufahamu wa angani watakuwa wanaweza kuboresha maisha yao wenyewe na maisha ya wakenya kwa ujumla.
view
12 Oct 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, kama ilivyosemwa na mwenzangu hapo awali, tuna kituo Malindi ambacho kinaangaliwa na Wataliano. Swala nyeti ni: Hawa Wataliano watakaa hapo kwa muda gani na makubaliano gani Wataliano walionayo na Serikali ya Kenya kwenda kuangalia na kuzunguka nchi yote nzima wakitumia mitambo yao ya anga za juu? Je, nchi yetu ya Kenya itaanza lini mikakati ya kuhakikisha kuwa hata yenyewe pia ina mitambo yake ya angani?
view
12 Oct 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, utakuta kuwa hivi juzi nchi yetu ilishambuliwa na maharamia wa baharini. Tungekuwa tuna vifaa vya anga za juu, tungeweza kuwatambua mapema na kutumia vikosi vyetu vya ardhini na majini kujua ni wapi hasa hawa maharamia walipokuwa; lakini kwa sababu Serikali haijachukua majukumu ya kuhakikisha kuwa ujuzi na utaalamu wa sayansi na teknolojia ya angani zimesitawishwa vizuri mpaka wakati huu bado ujuzi uko mikononi mwa wageni. Baada ya miaka 40 ya Uhuru, naona kuwa Serikali yetu, wakati umefika iamke na iangalie itafanya nini.
view
12 Oct 2011 in National Assembly:
Ni jambo la kushangaza kusikia Waziri akisema kuwa kitengo hiki kiko mikononi mwake na hakijaanza kufanya kazi. Je, kama hakijaanza kufanya kazi, wao wanatarajia nani wahakikishe kuwa kinaanza kufanya kazi? Ukiangalia kama eneo Bunge lile ninalotoka lina wanyama wengi na Mhe Otichilo, katika kazi yake ile alikuwa anafanya, alikuwa anashugulika na mambo ya wanyama, ndovu, chui, simba na kadhalika. Mara nyingi wanyama hawa huingia katika mashamba ya watu na kuharibu mimea. Kitambo ndege itumwe kutoka Nairobi ifike Taita, mimea itakuwa imeharibiwa, watu wamekufa na kadhalika. Tungekuwa na hivi vifaa, vingeweza kuangazia na tukajua hawa wanyama wako wapi na kutuma askari ...
view
12 Oct 2011 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, mwisho swala nyeti ni: Ni wakati gani Serikali yetu itaamka na iamue kuwa wakati umefika tuangalie huu ujuzi wa angani tutautumia kwa namna gani? Hivi sasa Lamu na Mombasa zimekumbwa na dhoruba. Mvua imenyesha. Upepo unapiga na ni mkali. Umeingia kwa mahoteli ambayo yako ufuoni. Kwa kweli
view
8 Sep 2011 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Gauging the mood of the House, am I in order to ask that the Mover be now called upon to reply?
view