Zainab Kalekye Chidzuga

Before joining politics, Zainab was the Coast Province treasurer for Maendeleo ya Wanawake Organisation (MYWO) for more than two decades. At one point, she also served as the chairperson, MYWO Kwale District. International women politicians like Margaret Thatcher, Hillary Clinton and Sirleaf Johnson inspired her to join politics. She is a widow and in seeking elective office, had to overcome many negative cultural beliefs regarding women in leadership.

All parliamentary appearances

Entries 171 to 180 of 180.

  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Kwa majina, ninaitwa Zainabu Chadzuga kutoka Jimbo la Kwale. Sijazungumza kuhusu Hotuba ya Rais! view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Shukrani Mhe.Naibu Spika kwa kuniokoa. Naomba kuchangia Hotuba ya Rais kama alivyotupatia wakati wa kufungua Bunge letu. Naipongeza sana hotuba ya Rais wetu kwa sababu iliguzia mambo muhimu; hususan yale yalionileta katika Bunge hili. Kwanza, ni kuhusu ada zinazolipiwa na kina mama wakati wa kujifungua. Nashukuru kwamba jambo hilo limeweza kutatuliwa. Na pia ametupatia nafasi hususan sisi watu wa Pwani tuweze kuzaana kwa wingi kwa sababu inaonekana mkiwa wengi ndio mnaweza kupata urais katika hii nchi. Pia itaweza kutusaidia kwa sababu hali ya umaskini imekidhiri sana katika Jimbo letu la Kwale na Pwani kwa ujumla. Kwa upande wa elimu, Rais ... view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: Shukrani sana mhe. Spika. Nasimama kuunga mkono Hoja hii, lakini kabla sijaunga mkono, ningependa kuhimiza kwamba Hoja hii--- Katika Kamati hii ambayo itawachunguza Mawaziri, tungetaka tuwe na watu ambao hawakukataliwa na wananchi. Wale waliokataliwa na wananchi ni wazi kwamba hawataweza kutekeleza matakwa ya Wakenya. Kwa hivyo, mtakapokuwa mnatuletea majina hapa, na maoni haya pia yamfikie Mhe Rais wetu, tunahitaji wale ambao hawakukataliwa na wananchi; tunataka wapewe nyadhifa za kuweza kutufanyia kazi katika Kenya na sio kuwa Mawaziri peke yake. Tunataka hata katika ubalozi na tume zote tupate watu ambao ni wapya na tuanze nao kazi. view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: Asante sana mhe. Spika. Naunga mkono. view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: (Hon. (Ms.) Chizuga): Ahsante, Bw. Spika. Kwa majina ninaitwa Zainab Chizuga, muwakilishi wa akina mama katika kaunti ya Kwale. Ningependa kukupongeza sana kwa kuchaguliwa kuwa Spika wetu, pamoja na naibu wako, akiwa mama. view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Kwanza, nimesimama kuiunga mkono Hoja hii kama ilivyo, kwa sababu muhimu ni lile ambalo unalizungumza na uzito wake; siyo maneno matupu. Pili, ningependa kuwapongeza Wabunge wote walioteuliwa. Tatu, ninawaomba Wabunge wasichukulie kwamba sisi akina mama tulio hapa tumekuja kuteta. Tumekuja hapa kuungana na kushirikiana ili tulijenge taifa la Kenya. view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Ahsante, Bw. Spika. view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Ahsante, Bw. Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus