Zainab Kalekye Chidzuga

Before joining politics, Zainab was the Coast Province treasurer for Maendeleo ya Wanawake Organisation (MYWO) for more than two decades. At one point, she also served as the chairperson, MYWO Kwale District. International women politicians like Margaret Thatcher, Hillary Clinton and Sirleaf Johnson inspired her to join politics. She is a widow and in seeking elective office, had to overcome many negative cultural beliefs regarding women in leadership.

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 180.

  • 15 May 2013 in National Assembly: Bw. Spika, kwa majina naitwa Zena Chidzuga, na nawakilisha wananchi wa Kwale. view
  • 15 May 2013 in National Assembly: Bw. Spika, kwa majina naitwa Zena Chidzuga, na nawakilisha wananchi wa Kwale. view
  • 15 May 2013 in National Assembly: Nimesimama kuchangia Hoja hii kwa sababu sehemu ninayotoka ni kame. Wanyama wetu wamekufa; wanyama wetu hawafi tu kwa sababu ya mafuriko, bali pia kwa sababu ya njaa na maradhi. Tegemeo langu katika kuunga mkono Hoja hii si tu ili wafugaji wapate bima, lakini naomba Hoja hii ifanyiwe ukarabati ili kuwe na unyunyuziaji maji maeneo kame. Hili likifanyika watu wetu watakuwa na nyasi za kutosha kulisha mifugo yao. Wafugaji wenzetu walio katika sehemu za Kasikazini Mashariki mwa nchi huishia kuja sehemu zetu kwa sababu kwetu nyasi huchukua muda kukauka. Kule kuja kwao huchangia ukosefu wa usalama. Wakati mwingine wakija hata hawaombi ... view

  • 15 May 2013 in National Assembly: Kwa hivyo, inafaa Hoja hii irekebishwe kuitaka Serikali itoe pesa za kutosha kujenga mabwawa katika kila sehemu yenye wanyama kwa wingi. Mabwawa haya hayatamsaidia tu mfugaji, bali yatawasaidia wananchi wengine kupata chakula kwa kunyunyuzia mashamba yao maji. Kwa njia hiyo, tutakuwa tumeua ndege kumi kwa jiwe moja. view

  • 8 May 2013 in National Assembly: Ahsante sana Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono huu Mswada japo kwa shingo upande. Tunazungumzia majimbo kuendelea. Majimbo ni mtoto tuliyemzaa hivi karibuni. Ukimlea mtoto vyema, atakuwa na afya nzuri. Kwa hivyo, ni muhimu na lazima serikali za majimbo zipate mgao ambao unastahili kuendesha miradi. Upande mmoja wa Jimbo la Kwale lina ukame. Upande huo mwingine unaweza kujimudu kidogo. Hakuna maji ya kutosha. Hakuna barabara. Tuna barabara moja tu inayosimamiwa na Serikali; nayo ni barabara ya Kinango-Kwale. Mama anapopatikana na uchungu ndiposa umfikishe hospitalini Kinango, sharti utumie wheelbarrow kilomita zaidi ya 40. Ikiwa hatutapata pesa za kutosha, basi hizo barabara ... view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: Sijaongea! Tafadhalini! Sijachangia kuhusu Hotuba ya Rais! view
  • 24 Apr 2013 in National Assembly: No! No! Sijachangia! That was on the Procedural Motion! view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus