All parliamentary appearances
Entries 41 to 50 of 81.
-
17 Apr 2014 in Senate:
Most obliged, Mr. Speaker, Sir.
view
-
17 Apr 2014 in Senate:
Yes, we will do that.
view
-
26 Mar 2014 in Senate:
Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili niungane pamoja na wenzangu kumshukuru Kiongozi wa Waliowengi Bungeni kwa kutoa ratiba ya vile Seneti itafanya kazi. Bw. Naibu Spika, kupata nafasi inaonyesha kwamba ni muhimu sana sisi kwenda mashinani kujua vile hali ilivyo na vile vile kuungana pamoja na viongozi wote ambao walichaguliwa na kujua ni maendeleo gani yaliyopangwa na vile tutawapatia masomo ili tuweze kufanya kazi pamoja. Bw. Naibu Spika, kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii ilioko mbele yetu.
view
-
14 Feb 2014 in Senate:
Thank you Mr. Speaker, Sir. On behalf of Lamu County, I vote yes for “a,” yes for “b” and yes for “c.”
view
-
14 Feb 2014 in Senate:
Thank you Mr. Speaker, Sir. On behalf of Lamu County, I vote yes for “a,” yes for “b” and yes for “c.”
view
-
24 Sep 2013 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii. Nakushukuru kwa sababu umeniona. Nimekuwa nikisimama mara nyingi lakini macho yako hayakuniona. Nakushukuru sana kwa kuniona ili niweze kuungana na wenzangu kutoa hisia zangu juu ya Hoja hii. Naishukuru Seneti kwa kutenga kipindi hiki cha adhuhuri ili kuzungumzia mambo muhimu yaliyotokea katika nchi yetu siku tatu zilizopita. Yale yaliyotokea ni mambo ya kulaaniwa na kila binadamu. Watu wote wanakilaani kitendo hicho kilichofanyika kule Westgate Mall bila kujali kama mtu ni Muislamu, Mkristu, Budhist au wa dini ile nyinge yoyote. Wale waliotenda kitendo hicho si Waislamu. Mimi kama Muislamu nimesoma dini kwa zaidi ...
view
-
24 Sep 2013 in Senate:
Naamini ya kwamba pia Bibilia inasema hivyo. Pia Uislamu unafunza hivyo. Wanaoanzisha uchochezi baini ya dini mbalimbali ni watu ambao hawana nia ya kuumaliza ugaidi duniani. Tusimame sote imara dhidi ya ugaidi. Bw. Naibu Spika, tunawapongeza vingozi wetu wa kitaifa ambao wamesimama imara kuonyesha dunia mzima kwamba Kenya iko tayari kuwamaliza magaidi wakiwa ni wa hapa au wa kutoka nje ya nchi.
view
-
24 Sep 2013 in Senate:
Bw. Naibu Spika, naomba tuwe imara na tusimame na majeshi yetu wanapopambana na ugaidi hapa nyumbani na hata nje. Wale ambo wameenda katika jumba hili hatujui kama wamafariki, lakini tunajua wamejitolea mhanga kufanya kazi ambayo ni ya umuhimu kwetu sisi sote. Kwa hayo machache, ninaunga mkono.
view
-
24 Jul 2013 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niungane pamoja na wenzangu kuzungumza juu ya Hoja ilioko mbele yetu. Vile vile namushukuru Sen. Kagwe kwa kuleta Hoja hii mapema, kwa sababu ni muhimu sana. Ukiangalia vile tunafanya kazi kama Bunge, Kamati zote zilizoko zinaweza kukaa na kuchunguza Bajeti inayoletwa na Serikali. Vile vile ni muhimu kuwafundisha au kuiambia idara inayohusika kuzifundisha bunge za Kaunti kutumia komputa. Pia ningependekeza kuwa badala ya kutumia Kiingereza watumie lugha ya taifa ili wakija kwa Bunge au Seneti, waweze kufanya mijadala kwa lugha ya taifa. Hiyo ndio njia moja ya kujikomboa kutoka ...
view
-
23 Jul 2013 in Senate:
Withdraw and apologise!
view