Boy Juma Boy

Died

13th February 2017

Telephone

0713 242955

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 98.

  • 5 Jan 2017 in Senate: Kwa jambo la nidhamu, Bw. Spika. Singependa kumkatiza mwenyekiti lakini katika Ripoti hii kuna mahali panasema: “Manual ComplementarySystem.” Ni makosa mwenyekiti akisema kwamba hakuna mahali pamezungumza kuhusu “Manual System”. view
  • 10 Nov 2016 in Senate: Bw. Spika, namshukuru Mwenyekiti wa Kamati yangu kwa kusema maneno ambayo si ya kweli. Hata kama wewe ni kichaa, utajua wazi kwamba lugha iliyotumika haifanani kabisa. Itakuwaje mito mitatu inayoleta maji kwa bwawa moja ibadilishwe mikondo kisha utarajie kwamba kiwango cha maji kitakuwa sawa? Huo in uongo mtupu. Pili, Mwenyekiti wangu hakutueleza gharama ya handaki hilo. Tulisikia kuwa itagharimu Ksh2 billion na sasa wengine wanasema itagharimu Ksh4 billion. Hajatupa ukweli wa gharama hiyo na kutuambia kwa nini imepanda. view
  • 10 Nov 2016 in Senate: Nidhamu! The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 10 Nov 2016 in Senate: Bw. Spika, Mwenyekiti anasema kuwa Sen. (Dr.) Khalwale anataka karatasi za kawaida wakati Sen. (Dr.) Khalwale ameeleza sababu maalumu. Je, ni sawa kwa Mwenyekiti kusema kwamba ni karatasi ambazo hazina maana? view
  • 10 Nov 2016 in Senate: Bw. Spika, kutokana na amri yako, nakubali uamuzi wako na kuyabadilisha badala ya uongo niseme si ya ukweli. Ninaomba msamaha kwa kusema uongo lakini Mwenyekiti wangu hasemi ukweli. view
  • 2 Nov 2016 in Senate: Bw. Spika, nikiongezea, nimemsikia Mwenyekiti akisema ya kwamba wakati wamahujiano, majina matatu yatawasilishwa kwa Waziri. Naye Waziri, atachagua moja kati ya hayo matatu au pia ayawache.Faida gani kufanyiwa mahojiano wakati Waziri hatachukua hata jina moja? Pili, atueleze iwapo kumekuwa na mahojiano na majina matatu kupelekwa kwa Waziri? Aseme ukweli wala asidanganye. Wee, sema ukweli! view
  • 19 Oct 2016 in Senate: Asante sana Bw. Spika. Naunga mkono Statement ambayo imeulizwa na Sen. Bule. Kaunti ya Kwale imetajwa na ningependa Mwenyekiti atueleze hatua za dharura ambazo zimepangwa kuhakikisha kwamba wanadamu na Wanyama hawaathiriki. Kuna hatua za mwanzo kabla daktari achukue hatamu.Hatua za mwanzo ni zipi? Asante. view
  • 12 Oct 2016 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 14 Sep 2016 in Senate: Hoja ya Nidhamu, Bw. Spika. view
  • 14 Sep 2016 in Senate: Bw. Spika, ningeomba umwambie mwanasheria huyu kuwa anapoangazia stakabadhi yoyote ile, atueleze ni ipi na ni ukurasa gani kwa sababu tuna stakabadhi nyingi hapa. Asipotuelekeza tutabaki kwa mataa na tunaanza kutapakatapaka hapa na pale kwa sababu hizi stakabadhi ni nyinyi. view