All parliamentary appearances
Entries 81 to 90 of 98.
-
20 Nov 2013 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, we have had two conflicting Statements: The Chairman has given us the number of people kidnapped as seven. The area Senator has given us the number of kidnapped people as 11. In this position, who do we take to be giving the Senate the correct position of the numbers of people kidnapped?
view
-
30 Oct 2013 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Kwanza, ningependa kukushukuru kwa uamuzi wako wa busara ambao una masilahi mazuri sana. Lakini cha msingi ni kwamba Seneti hii ilikuwa imeshakata shauri na majina kupelekwa. Yalipokuja hapa hayakuwa na mjadala wa vyama. Yalipopelekwa Bungeni, majina hayo yalibadilishwa---
view
-
30 Oct 2013 in Senate:
Bw. Spika, majina yalipoletwa hapa hayakuwa na tatizo. Hoja ilipita na kupelekwa mbele bila matatizo yoyote. Sasa tunakubaliana na uamuzi wa Spika, lakini cha msingi hapa ni kwamba ni uamuzi wa Seneti ndio uliopingwa kule na wala sio uamuzi wa chama. Kwa hivyo, kinachojadiliwa hapa sio nani apate nini bali kinajulikana kinagaubaga. Kama hutaki kulielewa hilo jambo basi itabaki hivyo, lakini anayeona na macho na kusikia kwa masikio, ni kwamba Seneti ilikuwa imemaliza mambo haya. Asante, Bw. Spika.
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa nafasi niunge mkono Hoja hii ambayo imeletwa na mwenyekiti wangu, Bw. Kagwe. Kwanza, ningependa tuichambue Hoja hii. Hoja hii inasema kwamba yafaa mtandawazi
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
katika headquater ya county .
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, unajua mahali pengine lazima uchanganyishe hata uwe Mswahili kutoka uswahilini. Kwa hivyo, hiyo ilikuwa ni kuchanganyisha kidogo tu. Mtandawazi ndio mwelekeo wa kisasa. Hoja hii ina umuhimu kwa sababu kaunti ndio mwelekeo mkubwa ambapo sasa tunaenda katika Serikali za Ugatuzi. Makao makuu ya ugatuzi sasa yako katika kaunti. Hapa ndipo mahali ambapo huu mtandawazi utakapounganishwa, basi kaunti zitaweza kuunganishwa na Serikali kuu, Seneti, Treasury na ulimwengu kwa ujumla. Hivi sasa ulimwengu umekuwa nyumba moja na hatuwezi kukaa na kusema kwamba kaunti zetu zibaki vile zilivyo. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inaguzia swala la ugatuzi. Seneta ...
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, namshukuru kwa sababu nilifikiri haelewi kumbe anaelewa. Hivyo alivyo elewa ndio ilikuwa nia yangu na wala si nia yangu kupotosha wananchi. Kuna Serikali ya Kitaifa na serikali ya ugatuzi. Kulingana na hali hii, nia na madhumuni ya hoja hii ni kuhakikisha ya kwamba nchi nzima, huu utandawazi ambao ni mwelekeo wa miaka hii, unaendelea. Kwa hivyo, namsifu aliyeleta Hoja hii. Yeye ni mwenyekiti wa kamati yetu. Naona kwamba yeye yuko na maono ya mbele. Nawaomba maseneta wote kuunga mkono Hoja hii kwa sababu inaeleza kinagaubaga nia na madhumuni yake. Pia ameeleza wazi wazi sababu za kuunga ...
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa nafasi niunge mkono Hoja hii ambayo imeletwa na mwenyekiti wangu, Bw. Kagwe. Kwanza, ningependa tuichambue Hoja hii. Hoja hii inasema kwamba yafaa mtandawazi
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
katika headquater ya county .
view
-
25 Sep 2013 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, unajua mahali pengine lazima uchanganyishe hata uwe Mswahili kutoka uswahilini. Kwa hivyo, hiyo ilikuwa ni kuchanganyisha kidogo tu.
view