Boy Juma Boy

Died

13th February 2017

Telephone

0713 242955

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 98.

  • 23 May 2014 in Senate: Hoja ya nidhamu Bw. Spika. Singependa kumkatiza Kiongozi wa Wengi lakini amesema kwamba jukumu la Seneti hii ni ku- impeach magavana. Hakuendelea kusema kwamba Katiba inaongea juu ya gavana na Rais. Ni sawa kwake kutaja magavana pekee bila kutaja Rais? view
  • 13 May 2014 in Senate: Bw. Spika, kwa niaba ya Kaunti ya Kwale, napiga ndio kwa “a” “b” na “c”. view
  • 25 Mar 2014 in Senate: Asante sana, Bwana Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ningependa kutoa rambi rambi zangu kwa familia ambazo ziliathiiriwa na mkasa wa Likoni. Ningependa kuungana na wenzangu kutoa rambi rambi kwa majirani wangu wa Mombasa ambao waliwapoteza jamaa wao. Kama mnavyojua, natoka Kwale na sisi ni majirani wa watu wa Mombasa, sawa tu na pua na mdomo. Kitendo kilichotendeka Likoni hakikubaliki katika Kenya ya sasa. Hakikubaliki! Ningependa kuieleza Seneti hii kwamba hilo si la Kiislamu. Hili ni jambo la watu wachache walio na mawazo machafu; mawazo ambayo hayakubaliki; mawazo ambayo katika lugha twaweza kusema ni tasa, ambayo hayazalishi. Ukweli ... view
  • 20 Mar 2014 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I would like to seek clarification from the Senate Majority Leader especially on the issue of the systematic killing of the Muslim clerics. I am aware that six clerics from Kwale County were, in fact, assassinated--- view
  • 20 Mar 2014 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, more than six clerics from Kwale County were systematically assassinated, one after another--- view
  • 20 Mar 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. While the Senate Majority Leader has accepted that there is a systematic killing of clerics either from the Muslim--- view
  • 20 Mar 2014 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, now that the Senate Majority Leader has accepted in his own words that he is aware of the killings of the Muslim and Christian clerics, am I in order to seek further clarification from him on why is that systematic killing of the clerics going on and what does the Government have to say about it? view
  • 20 Mar 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 19 Mar 2014 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Kama Mkenya mimi ninasema kwamba hii ni ripoti nzuri, lakini kama mtu wa kutoka pwani, haifai. Imeeleza vile Bandari ya Mombasa ni nzuri, lakini haikueleza maneno kama mtu wa pwani. Ripoti hii haituambii ni vijana wetu wangapi kutoka pwani ambao wameajiriwa kazi Kilindini. Ripoti hii inatueleza vile Bandari ya Mombasa inafaa Kenya nzima wala si pwani. Shida tunayoipata sisi kule pwani ni kwamba, tunatumika kama ngazi. Ukweli ni kwamba bandari hii iko pwani na haina haja ya kuelezwa na kuna nyingine kule Kisumu. Sasa utaona ya kwamba sisi kama watu wa kutoka pwani hatunufaiki. ... view
  • 19 Mar 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninashukuru maanake Kiswahili wakati mwingine kinachanganya. Jambo ambalo linatupatia utata ni kwamba bandari iko Mji wa Mombasa. Sasa tujiulize, Kaunti ya Mombasa kando ya zile kaunti tano zinazozunguka Mombasa, zinafaidika vipi kutokana na Bandari hii? Tukiitwa Wakenya tunaona raha. Bandari hii inachangia pakubwa uchumi wa nchi hii kutokana na ushuru unaotozwa wafanyabiashara. Bandari hii ni chanzo kubwa cha rasilmali ya Kenya hii. Sisi ambao tunachangia kikita rasilmali hiyo, kazi yetu kubwa ni kusema ‘amina’ huku watu wengine wakifaidika. Mambo haya ni lazima yabadilike. Kamati itakapokwenda tena pwani, ni lazima itie hayo ndani ya mawazo yao na ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus