Boy Juma Boy

Died

13th February 2017

Telephone

0713 242955

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 98.

  • 1 Apr 2015 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ya kusema machache juu ya Hotuba ya mhe. Rais. Kwanza, namsifu aliyeandika Hotuba hii. Hotuba hii iliandikwa kwa umarufu sana. Pili, ninamsifu mhe. Rais kwa kuisoma Hotuba yake kwa ufasaha wa juu. Tatu ni swali: Je, ndio mara ya kwanza Hotuba nzuri kama hii kusomwa hapa Bungeni? La. Marais wengine wameshatoa hotuba nzuri kama iliyosomwa na mhe. Rais Uhuru. Je, kuna matokeo baada ya hotuba? Hilo ndilo jambo muhimu sana. Bw. Spika wa Muda, kwa mfano, tuliambiwa kutakuwa na elimu ya bure. Kweli kuna elimu ya bure hapa nchini? Leo hii, elimu ... view
  • 1 Apr 2015 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Mar 2015 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bw. Spika! view
  • 17 Mar 2015 in Senate: Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa wakati huu wa hoja ya nidhamu. Alichoomba Sen.Hassan ni taarifa, na jibu lililotoka kwa mwenyekiti ni kwamba, atatoa taarifa siku ya Alhamisi, lakini hakusema ni Alhamisi gani. Amesema tu Alhamisi lakini hatujui ni mwaka ujao au mwezi ujao. Alhamisi ni nyingi. Hakutupa tarehe maalum. Ni Alhamisi ya wiki hii, ya mwezi ujao au ya mwaka ujao ? Hilo ndilo swali. view
  • 17 Mar 2015 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Mar 2015 in Senate: Bw. Spika, sijui. view
  • 17 Mar 2015 in Senate: Yes! view
  • 26 Nov 2014 in Senate: Bw. Spika, lizungumzwalo hapa ni tishio la maisha ya mmoja kati ya sisi hapa Maseneta. Mambo haya kutokana na takwimu tunazozipata ni kwamba kila wakati Serikali huonywa kwamba kuna kitu fulani kitatokea na hakuna lifanywalo. Habari zilielezwa kuhusu maafa ya Kapedo, Mandera na kwingineko. Ikaja view
  • 26 Nov 2014 in Senate: hapa tukawa wakali na kukashifu maafa haya. Swali langu ni hili: Tunangoja mpaka amalizwe ndio tuje na Hoja ya kusema tuna huzuni, Sen. Hassan amekufa? view
  • 26 Nov 2014 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus