Boy Juma Boy

Died

13th February 2017

Telephone

0713 242955

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 98.

  • 16 Sep 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika kwa kunipa nafasi kuunga mkono malalamishi haya yaliyoletwa kwa niaba ya waliokuwa madiwani. Bw. Spika, Waswahili husema kuwa ukiona kichwa cha mwenzako kikinyolewa chako tia maji. Hata sisi pia tunaweza tukawa wa zamani kama wao. Kwa hivyo, ni vyema kushughulikia masilahi yao na kuhakikisha kuwa wako sawa. Namshukuru Sen. (Prof.) Lonyangapuo kwa hilo na naunga mkono malalamishi haya. Naomba yatiliwe maanani na kushughuliwa haraka iwezekenavyo. view
  • 16 Sep 2015 in Senate: seconded. view
  • 16 Sep 2015 in Senate: seconded. view
  • 20 May 2015 in Senate: seconded view
  • 13 May 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Waswahili husema; “Ukiona mwenzako ananyolewa, tia kichwa chako maji.” Pia wanasema, “ukiona maji ya bahari yametulia, haimaanishi kwamba kina ni kifupi.” Kina chaweza kuwa kirefu sana. Nasema hivyo kwa sababu ninawaunga mkono waheshimiwa Karaba na Mutula Kilonzo, Jnr. Nimekaa hapa na ndugu yangu Sen. Dan Mwazo tukicheka lakini mipaka yetu ina matata. Kuna shida katika kaunti ya Kwale na Taita Taveta. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 13 May 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Waswahili husema; “Ukiona mwenzako ananyolewa, tia kichwa chako maji.” Pia wanasema, “ukiona maji ya bahari yametulia, haimaanishi kwamba kina ni kifupi.” Kina chaweza kuwa kirefu sana. Nasema hivyo kwa sababu ninawaunga mkono waheshimiwa Karaba na Mutula Kilonzo, Jnr. Nimekaa hapa na ndugu yangu Sen. Dan Mwazo tukicheka lakini mipaka yetu ina matata. Kuna shida katika kaunti ya Kwale na Taita Taveta. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 May 2015 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii niunge mkono Mswada huu ambao ni muhimu sana. Ninawashukuru Maseneta wote waliochangia katika Mswada huu. Kwa hakika, kama umewasikia pamoja na wewe uliyekaa hapo kwa kiti, wamezungumza kinagaubaga. Aliye na masikio, asikie kwa sababu wakati mwingine kuna mtu ana masikio lakini hasikii. Unamwambia lakini hasikii! Ana macho lakini haoni! Kwa maoni yangu, Mswada huu, ingawa nauunga mkono, ni dawa ambayo haitibu homa, bali inapunguza makali tu. Lazima uende umeze Quinine . Mswada huu unaunda Kamati mbili ambazo zitakuwa Kamati ya Bunge la Kitaifa, na nyingine The electronic version of the Senate ... view
  • 7 May 2015 in Senate: Bi. Spika wa Muda, namshukuru Sen. Karaba sana. Kwa kweli yeye ni mwalimu. Hata hivyo hapa hatusomeshani mambo ya Katiba bali tunaelezana hali ilivyo. Hata kama Katiba ilipitishwa, ina matatizo. Matatizo hayatatoweka kwa kuwa Katiba ilipitishwa. Huo ni ukweli lakini matatizo yapo. Huu ndio ukweli wa mambo. Kwa hayo machache, naunga mkono huu Mswada. view
  • 9 Apr 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili kwa roho ngumu na huzuni mwingi niunge mkono Mswada huu. Kama ningekuwa ni mtu wa kawaida ningeupinga Mswada huu lakini kwa sababu mimi ni Seneta, nitaunga mkono. Nitatoa sababu kwa nini naunga mkono Mswada huu. Naunga mkono Mswada huu kwa sababu tunaongeza pesa kwenda katika serikali za kaunti. Je, serikali hizi za kaunti zinajua kama sisi tunafanya kazi hiyo? Hao magavana wanajua na kuheshimu Seneti kwamba sisi ndio baba na mama wanaowapelekea pesa hizo? Leo hii hapa tunang’ang’ana kuongeza zaidi ya Kshs30 billion lakini ukifika huko, Maseneta hawajulikani wala ... view
  • 9 Apr 2015 in Senate: Bw. Spika, namshukuru. Mwaka “19 vua kofia” ni kutoka 1900 mpaka leo. Yaani kutoka hiyo miaka ilipoanza mpaka leo, hakuna mabadiliko yoyote, hali ni ile ile ya kutoka 1900 mpaka 2015; hali haibadiliki. Ndio maana tunasema The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus