Boy Juma Boy

Died

13th February 2017

Telephone

0713 242955

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 98.

  • 19 Mar 2014 in Senate: Ninamshukuru Seneta nimpendaye mwenye maneno mazuri anayetetea haki za wanyonge. Lakini ninashangaa kwamba anaona hakuna haja ya haki ya Mpwani. Huyu ni Senata mzuri na mtetezi wa haki. Lakini ninashangaa kwamba anaona hakuna haja kwa Mpwani kupata haki zake. Bw. Spika wa Muda, hata kama baadhi ya viongozi wanapinga haki zetu ni lazima tupatate hata kama ni kwa asilimia ndogo. Tumewasikia Maseneta wakieleza kinaga ubaga faida zake Bandari ya Mombasa. Inafaa watu wa pwani nao waweze kuona bandari ikiwa na manufaa kwao. Hilo ndilo jambo tunalotetea. Sasa hapo pamezidi nini? view
  • 19 Mar 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nakushukuru kwa maneno yako mazuri. Angalau umeona upande wangu. view
  • 19 Mar 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja. view
  • 13 Mar 2014 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Nidhamu yangu ni juu ya taarifa ambayo imetolewa hapa na Kiongozi wa Wengi katika Seneti. Ameeleza kinaga ubaga hali halisi ilivyokuwa wakati wa mgomo wa magari ya abiria yanayojulikana kwa umaarufu kama matatu. Naye Seneta wa Nairobi Kaunti, mhe. Mike Mbuvi amepinga vikali huku akidai imejaa undanganyifu. Sasa ningependa kupata mwongozo kutoka kwa Bw. Spika; ni nani kati ya hawa wawili waheshimiwa anayesema ukweli? view
  • 5 Mar 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, we will respond to the issue of the KMC within one week. view
  • 5 Mar 2014 in Senate: Yes, Mr. Speaker, Sir. view
  • 5 Mar 2014 in Senate: Bw. Spika, kwa sababu maswali ambayo yameulizwa yanahitaji kazi ndefu, ningeomba wiki mbili kujadili na kutoa Statement hizo. view
  • 14 Feb 2014 in Senate: Mr. Chairman, I was not voting but clearing my throat. The vote is now coming. I vote yes for the three counts. view
  • 14 Feb 2014 in Senate: Mr. Chairman, I was not voting but clearing my throat. The vote is now coming. I vote yes for the three counts. view
  • 20 Nov 2013 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nimekubali kuchukua hiyo Statement na nitajaribu kadiri ya uwezo ipatikane ndani ya wiki mbili. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus