24 Mar 2010 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. I would like to seek your indulgence and direction under the general proviso of Standing Order No.1. We want to say, as this side of the House, that we sincerely protest the presence of---
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. With respect to the Assistant Minister, on page one of his answer, he has stated that lake patrol boat has cost Euros 759,730 and three boats at a total cost of Euros 3,055,340. Is he in order to tell us today that in fact, these boats are operational? They are supposed to be Customs boats to check whether people are actually following the Customs Procedure. We know that the two boats in Mombasa, which are supposed to patrol the sea are grounded and completely unoperational. Would he consider going to check ...
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, this is a Procedural Motion and we support it, but with just one small sentence to the joint Chief Whips. We are adding the sitting hours of the House by 90 minutes. Effectively, if we go by the 20 minutes, we are adding four-and-a-half hon. Members to speak during those hours. Mr. Deputy Speaker, Sir, it is going to be critical unless we have proper organization from the joint Chief Whips that those hours are properly occupied. That is because if it is not, we might also face some form of embarrassment. It is important for ...
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, ninataka kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kunipa nafasi ili nitoe mawazo yangu machache kwa Hoja hii ya Katiba mpya ambayo iko mbele yetu. Kwanza, ningependa kusema ya kwamba tuko katika hatua zile ambazo tulikubaliana kama Wabunge na tukapitisha katika sheria ya Kenya za kutengeneza katiba yetu mpya hapa Kenya. Tulikubaliana na tukapitisha katika sheria yetu ya kwamba Kamati ya Wataalamu watafanya kazi yao. Wakimaliza kufanya kazi yao, watapeleka maoni yao kwa kamati yetu ya Bunge ya PSC. Nao, chini ya Mhe. Abdukadir walifanya kazi yao. Bunge ni hatua ya tatu. Bunge pia inahitajika kutekeleza wajibu ...
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
Ukiniuliza mimi kama Katiba hii imeenda mbele katika demokrasia au la, nina jibu langu. Lakini wewe mwananchi na wenzangu pia mna majibu yenu. Hakuna mtu atakayekujibu zaidi ya hapo. Ukiangalia siku ya Jumanne, na siku zote tunapokuja hapa kwa vikao vya Bunge, hawako. Kazi zao za maeneo yao ya bunge zinachukua nafasi ya mbele kwa sababu walikuwa wabunge kwanza kisha wakawa mawaziri. Sasa tumepitisha katika Katiba hii ya kwamba wewe ukiwa waziri, fanya kazi yako ya uwaziri. Wewe ukiwa mbunge ama seneta, fanya kazi yako ya ubunge ama useneta. Ikiwa unafanya kazi yako ya kupitisha sheria, fanya kazi yako ya ...
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
kwa vile anajuana na Rais au wakuu wa Civil Service, anachaguliwa na kuapishwa kama hakimu. Baadaye Tume ya kupambana na ufisadi au the Kenya Anti-Corruption Commission (KACC) inasema kuna makosa yaliyofanyika na jaji huyo anasimamishwa kazi. Mambo haya yote yanafanyika chini ya Katiba ya sasa. Katiba hii mpya inatoa mamlaka kutoka kwa taasisi mbalimbali za Serikali na kuyaweka mahali pengine. Kwa mfano, the Judicial Service Commission (JSC) inapewa jukumu la kuwateua majaji chini ya Katiba hii mpya. This is superior. Hii JSC hapa ina nguvu zaidi kuliko vile ilivyo sasa. Hata katika kanda ya nchi za Afrika Mashariki, taratibu hizi ...
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
Wataalamu, basi tusikatae msimamo wa wananchi wetu. Sisi tumepewa nafasi nzuri zaidi ya kuwa na Katiba mpya. Sheria ambayo tumeunda sasa inatuelekeza njia hiyo ya kupata katiba mpya. Ndio, kuna hizi nafasi zote za kubadilisha na kuifanya hii Katiba iwe nzuri zaidi, lakini tusipoibadilisha nakala, itakuwa vyema zaidi kwa sababu ni nzuri hivi ilivyo. Tusiikatae na tusiwadharau wanaosema kuwa tuipitishe vile ilivyo. Lakini sio kusema kwamba yule ambaye ana wazo nzuri zaidi pia tumkashifu. Tusiwe na mioyo namna hiyo. Ninaomba tusikizane na tuelewane. Ikiwa kuna mtu ambaye atakuja na jambo nzuri zaidi, basi tukae tubadilishe. Lakini kama hatutaweza kupata nambari ...
view
24 Mar 2010 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa hayo mengi, naomba kuunga mkono even the
view
23 Mar 2010 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I am wondering whether we are reading the same law with Mr. Ruto because we cannot, in any way, try to interpret that law in any other way. Everybody in this House and the country at large knows that the intention of Parliament is to make alteration if necessary and if possible. But it should be so grave a matter that it should gather two thirds majority support of the House.
view
23 Mar 2010 in National Assembly:
Is it in order for us to seek to try and introduce an interpretation that seems to suggest that a simple majority should, in fact, be able to amend any section? This is not a simple report. Everybody knows that it is a constitutional matter. Is he in order?
view