Danson Mwashako Mwakuwona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 197.

  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Jambo hili ni nzito. Hili ni jambo ambalo kama viongozi tukuchukue nafasi yetu tupitishe Mswada kwa sababu Wakenya wanaumia. Wanapoteza maisha kila kukicha. Asante kwa fursa hii na ninasimama kwa vikali sana kuunga mkono sheria hii ambayo imependekezwa na Mheshimiwa Ndindi Nyoro. Asante view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo dada yangu Mhe. Mishi wa Likoni ameleta Bungeni. Maswala haya tunayoyaongelea hapa kama Bunge la Taifa ni maswala mazito. Tunaongelea swala la mmoja wetu na mtoto wake kupoteza maisha. Kwanza, naomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za hao watu wawili mahali pema peponi. Aibu kubwa imetupata kama nchi. Mimi nimekuwa nikipiga mtazamo kuwa mambo haya yangetokea katika nchi zilizoendelea, taifa jirani kama Tanzania ama mahali ampapo kuna vijana ambao dada yangu kutoka Lamu amewataja na wapewe ruhusa ya kufanya kazi mahali kama pale, leo hii hatungepoteza roho hizo mbili. ... view
  • 24 Sep 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza nataka kutoa rambirambi zangu binafsi na za Eneo Bunge la Wundanyi kwa mwenzangu, Mhe. Kiarie, na wazazi wa shule ambayo ilipata mkasa jana na watoto saba wakaaga dunia. Natoa pole zangu. view
  • 24 Sep 2019 in National Assembly: Pili, namshukuru Mhe. Sossion kwa kuleta suala hili Bungeni. Kenya nzima inaangalia vipi tutaangazia masuala ya usalama wa watoto wetu katika shule zetu. Ni jambo la majonzi na kusikitisha sana wakati watoto wetu wanapoenda shule za upili na msingi wanakosa kupata viwango sawa vya usalama. Unakumbuka miaka miwili au mitatu iliyopita tulikuwa na janga kubwa sana la shule za upili kuchomwa na tukaambiwa kwamba ni mambo ya mitihani na uoga kama huo. Kwa kweli Wizara ya Elimu ina maswali chungu nzima ya kujibu. La kwanza ambalo Mhe. Sossion ameliangazia sana ni itakuwa vipi tuna shule ndani ya jiji kama Nairobi ... view
  • 24 Sep 2019 in National Assembly: Mwisho, tunapoangazia suala hili, lazima pia tuangalie ugavi wa pesa zinazotengwa na Bunge kujenga shule. Hii ni kwa sababu sehemu nyingi nchini hazifikiwi na pesa hizi. Lazima wizara ilete ripoti kwa Bunge hili kusema ni vipi pesa hizo zinatumika Kenya nzima. Kuna sehemu nyingi tu ambazo hazioni pesa hizi. Naunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Mhe. Sossion. Asante. view
  • 19 Sep 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to add my voice to the debate on this important Bill. First and foremost, this year’s Finance Bill will go down in history as one over which we did not have much issues to raise in comparison to the acrimony we saw last year. The only bit that we must stand with Kenyans is on the interest rate caps. The National Treasury and the Executive have indicated intention to bring a Bill that wants to remove interest capping on the loans that we take from banks. I must commend ... view
  • 19 Sep 2019 in National Assembly: June - and now we are on the Finance Bill - and yet we are always talking about deficits. Every time, the KRA tells us what it will collect. This year, it has told us that it expects to collect Kshs1.8 trillion yet we know for the last five years, there is no year it has hit its target. Therefore, we must ask the KRA and the National Treasury very hard questions: Why are they always very ambitious with what they want to raise, and every time they tell us they do not meet their targets? We have a new ... view
  • 30 Jul 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. At the outset, I rise to support the Report that the PAC tabled in this Parliament that we appoint an auditor to audit the accounts of the Office of the Auditor-General. This is a good thing which is unprecedented. As a country, we are coming to a realisation that the Auditor-General has been giving us reports that indicate that a lot of resources in this country are misappropriated or mismanaged. Therefore, it is time we need to know how the watchdog, who is the Auditor- General, spends resources that this Parliament allocates him. view
  • 30 Jul 2019 in National Assembly: The Office of the Auditor-General is very important for this country at this point in time when the whole country is looking at how to fight corruption and how to make sure that money in billions… We are told that this country loses in excess of Kshs330 billion though corruption every year. The moment the Auditor-General gets qualified report from the auditors that are being recommended by the PAC - that is PKF Kenya - it will generate enough confidence in all the Government agencies, departments and ministries. They will realise that the Auditor-General understands the role that he undertakes ... view
  • 30 Jul 2019 in National Assembly: Financial Year. As we push for the Office of the Auditor-General to be audited, we need to be realistic and push them to deliver reports in good time. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus