Danson Mwashako Mwakuwona

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 197.

  • 6 Nov 2019 in National Assembly: When is the Teachers Service Commission processing retirement and terminal benefits lodged by— (i) Mrs. Rose Kambe Mwashinga, a widow of the late Rophus Wana Mghendi of TSC No. 289808, who has been pursuing Mr. Mghendi’s death gratuity since 2016? (ii) Mr. Festus Mngámbwa of TSC No. 003584 who has been pursuing his pension payment since 1999? Thank you, Hon. Speaker. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. My Question is directed to the Teachers Service Commission (TSC): view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: (i) Could the Teachers Service Commission explain why it is yet to confirm the various deputy head teachers who have been faithfully serving in acting capacities for the positions of head teachers in various schools for unjustifiably long periods of time? view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: (ii) Why are the affected deputy head teachers prohibited from indicating in their curriculum vitae and other official engagements with the TSC that they have been serving in these positions in acting capacities? view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, nashukuru kwa nafasi hii. Nasimama kuunga mkono Mswada huu ulioletwa na mwenzetu Mhe. Nyoro kuwa hukumu na faini inayotolewa kwa wafisadi ipate kuongezeka maradufu. Kila mara tunapokaa katika Bunge hili na kuongea juu ya masuala ya ufisadi, nafikiri nchi nzima huwa inatuangazia sana kama viongozi. Ni jambo la kusikitisha sana kuwa nchi hii ambayo inajulikana katika Afrika na ulimwengu mzima kuwa ni nchi ambayo inastawi, tunajulikana kwa masuala ya ufisadi. Tumewekwa katika jedwali katika nchi za Afrika na inaonekana kuwa Kenya imestawi sana na mambo ya ufisadi. Leo hii wanariadha wetu kule Doha wanaleta sifa ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Wakati Mkaguzi wa Vitabu vya Serikali amesema pesa fulani imepotea katika eneo Bunge langu ama katika ofisi fulani ya Serikali, wacha yule atakayepatikana na makosa yale arudishe ile pesa mara mbili inavyoandikwa katika sheria hii. Tukifanya hivyo, huenda tukapunguza tamaa ambayo watu wengi wanaopata nafasi za Serikali wako nayo. Ni vibaya sana kwamba wale wanaolala korokoroni, wale waliohukumiwa, wengi ni kwa makosa madogo madogo ambayo yanadhuru mtu mmoja ama wawili. Lakini makosa makubwa hufanyika wakati watu wanakufa mahospitalini, kwa mfano, katika Hospitali Kuu ya Kenyatta. Watu wanakufa hospitalini lakini wale waliopora pesa ya madawa wanapopelekwa kortini, mara nyingi kesi haina ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: wale waliotia sahihi stakabadhi fulani. Lakini wale mabwenyenye ambao wanafaidika kutoka na ile pesa ya ufisadi, wengi wako huru, hata wengi wako katika hili Bunge. Ni jambo la kusikitisha sana. view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Kwa hivyo, wakati tunapojadili suala hili kama Waheshimiwa, ni vizuri itoke wazi. Hata kama nakubaliana na Mheshimiwa aliyesema kuwa tupatie mahakama uhuru wa kuamua ni vipi, kesi iko namna gani, hili ni jambo zuri katika sheria. Lakini mahali nchi hii imefika, tunajua ufisadi unatendeka hata ndani ya mahakama. Kwa hivyo, tukizidi kupatia wahukumu wetu uhuru wa kuamua ni nani atafungwa miaka kumi au mmoja, bado ufisadi utaingia maeneo yale. Ndiposa nakubaliana na Hoja hii kwamba tuwache mambo ya ufisadi… Maanake hata kwa mahakama upo. Wacha tutoe huo uamuzi kama Bunge, na tuseme kuwa ukipatikana umeiba pesa za umma, utarudisha mara ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Juzi kulitendeka kisa kibaya sana pale Mombasa Ferry. Kwa kusema ukweli, kama si ufisadi, hakuna vile wananchi maelfu na maelfu wanavuka katika kivuko kile lakini kunakosekana hata mpiga mbizi mmoja ndani ya Ferry . Mpiga mbizi ambaye angalau anatakikana aangalie wakati kumetendeka jambo kama lile. Mama yule na mtoto wake wamepoteza maisha yao kwa sababu ya ufisadi. Kama si ufisadi, yule mama hangekufa, maanake wale wanaosimamia Ferry wamejitwika jukumu la kuangalia makandarasi pekee - Kutafuta njia ya kula pesa. Mara wanatengeneza Ferry lakini haitengenezwi vizuri. Ferry inakosa vitu muhimu vya msingi vya kulinda maisha ya wanadamu kwa sababu watu waliamua ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus