9 Jun 2020 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii. Naanza kwa kuunga mkono Hoja hii. Kama mmoja wa wanakamati wa Kamati ya Bajeti, naipongeza Kamati hii ikiongozwa na Mhe. Ichung’wah kwa sababu tunapitia nyakati ngumu na tumefanya bajeti hii kwa mazingira ambayo ni magumu sana. Pia, nashukuru Wenyeviti wa Kamati zote za Bunge ambazo zilikuja mbele yetu zikatukabidhi mapendekezo yao. Ulikuwa wakati mgumu lakini tunashukuru kwa sababu tumefika. Nyakati tunazopitia kama nchi ni ngumu. Dunia nzima inapambana na kirusi ambacho, vile wengine wamesema, hatuwezi kukitambua. Kimekuja, tuko nacho na hatujui kitaondoka lini. Wakati wa kufanya bajeti ilitubidi tuangalie kwa makini mapendekezo ...
view
9 Jun 2020 in National Assembly:
hii. Kwa hivyo, tunatazamia kwamba kazi mitaani zitaenda kila eneo la wakilishi Bunge ili vijana wetu wapate ajira. Jambo lingine ningetaka kusema sana na ambalo ningetaka liingie katika datari za Bunge ni kuwa raslimali za Kenya mara nyingi zinalenga maeneo fulani. Bajeti hii ina pesa nyingi ambazo zimekadiriwa. Lakini tukiangalia miradi ambayo imewekwa na imetiliwa maanani, kuna sehemu fulani zinapata mgao mkubwa. Kwa mfano, katika sekta ya barabara, mwaka huu nilidhani kwamba maeneo ambayo hayana barabara za lami yangewekwa ndani ya bajeti hii. Aya 16 imetaja Wundanyi kama mojawapo ya maeneo Bunge ambayo hayana barabara ya lami. Kwa sababu ya ...
view
29 Apr 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. Yes, I was following, but I lost the Chair at some point. I can comment on what I have followed through. First and foremost, I thank the Chair. He was not present last week, but through the Leader of the Majority Party, he has been able to respond. I think he has done a good job. However, there are grey areas. What is happening in the rural areas and, of course, the entire country, is that when the elderly persons who are not registered heard that their colleagues and relatives were being paid, they all flocked ...
view
29 Apr 2020 in National Assembly:
They believe that we are the custodians who understand their challenges. Because the Chair will bring a Statement next Wednesday, we need the State Department to appear before the Committee to address the many concerns the Members have. Thank you.
view
22 Apr 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to request for a Statement regarding the Cash Transfer Inua Jamii Programme to older persons. Pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Labour and Social Welfare regarding the Cash Transfer Inua Jamii Programme to older persons and other vulnerable groups, especially during this period of Covid-19 pandemic. Our Government has an obligation to take care of older citizens of this country. The Ministry of Labour and Social Protection has been running the Older Persons Cash Transfer Programme targeting older persons and other vulnerable ...
view
22 Apr 2020 in National Assembly:
It is to the Departmental Committee on Labour and Social Welfare.
view
22 Apr 2020 in National Assembly:
Yes, it is Wundanyi. Thank you, Hon. Chairman. I just want to agree with the Chair of the Departmental Committee on Finance and National Planning and say that even as the Government thinks around fighting the COVID-19 pandemic, we need also to put fertiliser as part of fighting it. We need to provide farmers with more subsidised fertiliser. In the next three months or so, it will be time for harvesting and we will need more food. I agree with the Chair and we need to do more for farmers in this country. Thank you.
view
22 Apr 2020 in National Assembly:
Asante, Mhe. Spika. Kwanza nashukuru umenipa nafasi. Mimi ni mmoja wa wanakamati wa Kamati ya Bajeti na Makadirio. Kwa kweli, tumekuwa na kipindi kizuri cha kuangalia hesabu iliyotolewa kutoka Hazina ya Kitaifa. Mapema leo hii tulipata nafasi kuangalia ripoti ya Kamati ya Hazina. Sasa tumepata nafasi nzuri tena ya kujadili Mswada huu wa Makadirio ya Ziada.
view
11 Mar 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I rise to support. The biggest challenge we have had with the implementation of projects is that we have not been able to get a board to discuss particularly approvals. We run public participation but when it comes to approval of projects, it becomes a problem. So, I support.
view