Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 893.

  • 18 Apr 2023 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, je ni vyema na heshima kwa mhe. Seneta, kadamnasi ya nchi nzima kusema ‘makalio juu’ katika hotuba yake? view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Hayo sio makalio juu. Hii ni falsafa ya chini kwenda juu. Sio ‘makalio juu.’ view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Matumizi ya lugha nadhifu. view
  • 18 Apr 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Sijui namba lakini Hoja imefika. view
  • 13 Apr 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Nashukuru sana kwa nafasi hii ya kuchangia Mswada ambao umeletwa hapa. Cha msingi ni kutarajia kwamba hizi fedha tunazoachilia kuenda mashinani, tusiwe kama wale ambao wanafanya katika maeneo ya kuhifadhi waliofariki, kwamba tunafanya upasuaji wa fedha za serikali. Tunataka chini ya uongozi wako, Seneti hii, iwapo kazi ni nyingi na ni mzigo kwa walio katika Kamati hiyo, tuweze kupewa nafasi wengine wetu tuweze kutia msasa vitabu vya hesabu vya kaunti mbalimbali. Isiwe kwamba wako nyuma kwa miaka miwili au mitatu. Tuweke magavana hao kwenye mizani na tuwapige msasa ili tufuatilie kama fedha walizopata zinafanya kazi ... view
  • 29 Mar 2023 in Senate: Asante sana, Bi. Spika wa Muda. Nimekuwa nikisikiliza maoni kutoka pande zote na ninaona muda unasonga. Watu kule nyumbani husema, nitaomba nizungumze kwa lugha asilia kisha nitafsiri. Fisi aliambia jiwe; ‘japo utanyamaza umesikia. Wakhasila waulile.’ view
  • 29 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 29 Mar 2023 in Senate: Ngugu zangu Sen. Sifuna na wenzake wame--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus