Davis Wafula Nakitare

Born

7th May 1943

Post

P. O. Box 126 Endebess

Email

nakitare@africaonline.co.ke

Telephone

0722489317

Telephone

0735669729

All parliamentary appearances

Entries 361 to 370 of 893.

  • 8 Mar 2023 in Senate: heshima na kumtafuta gavana ama msimamizi wa kiwanda ama hospitali na kumueleza; ndugu yangu siku zimefika na lazima ulipe deni. Una mpango gani wa kulipa? Wakubaliane ili pasikuwe na shida ama kupoteza maisha ya watu. Mimi naunga mkono Hoja ambayo ndugu yangu Sen. Faki ameleta. Lakini katika Kamati ya Afya, lazima twende pale mashinani na tuhakikishe kwamba mifumo ya fedha, umeme na kugharamia umeme wa kushughulikia mashine mbali mbali katika nchi hii yasisimamishwe kwa sababu ya pesa. Mwisho, tukiendelea hivi, utasikia Shirika la Umeme limekata umeme katika kituo cha polisi. Ikikata umeme katika maeneo ya usalama, hapa ni kuwapa majambazi ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Nilikuwa nimeketi hapa kama nimetulia tuli nikisikiza na nikaona sura ambazo nazijua. Wamenyonga tai na mabinti wamekula vyema na nyuso zao nyororo kama watu wa Kaunti ya Bungoma. Ninashukuru sana kuja kwao hapa kwa sababu ugatuzi kuafiki malengo yake ni lazima viongozi katika Bunge la Kaunti la Bungoma na kaunti nzima wajue kuifanya kazi yao na majukumu yanayoambatana na matarajio ya wananchi. Pia, wajumbe wa ward wanapochangia pale mashinani, viongozi hawa ndio huhakikisha maoni na maelezo ya viongozi yanawekwa kwenye vitabu inavyotakikana. Najivunia uchapa kazi wao. Nimekuwa kule vijijini kwa muda mrefu nikifanya kazi ... view
  • 8 Mar 2023 in Senate: Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Watu wana mbwembwe kuzungumzia mambo ya wajumbe wa wadi. Lakini vijana ambao wako mbele yangu ni wachapa kazi wa Bunge la Kaunti ya Bungoma. Ijapokuwa tunawatetea MCAs wetu ambao wanatekeleza wajibu ambao unastahili kupewa shukrani, lakini hawa wachapa kazi lazima mambo yao vile vile yaangaziwe katika maeneo yao ya kazi. Kwa mfano, lazima wapandishwe madaraja baada ya muda; wapewe nafasi ya kuendesha magari ya kifahari; wapewe nafasi ya kupata matibabu katika hospitali na gharama mbali mbali. Nadhani hawa watu lazima pia mambo yao yaangaliwe. Ama namna gani? Sasa tuko hapo na nyinyi ... view
  • 7 Mar 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise, pursuant to Standing Order 53(1) to seek a Statement from the Committee on Information Communication and Technology (ICT) on the routing of international gateway tariffs by mobile telecommunication firms and mobile service providers. In the Statement, the Committee should – view
  • 7 Mar 2023 in Senate: (1) Appraise the Senate on the safety of consumers’ data, highlighting the reliability of the telecommunication systems in withstanding a task such as hacking, denial of service and spying by individuals and governments; (2) Furnish the Senate with an updated report of all calls made locally and internationally, indicating he chargeable rates; (3) State measures, if any, that the telecommunication firms have established to counter the challenges inhibiting traffic calls resulting to artificially high prices; (4) State action plans, if any, that the telecommunication firms have implemented to ensure liberalization of international gateways and secure bundle access in encouraging competition ... view
  • 1 Mar 2023 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Jambo ambalo linadhihirika wazi katika yale ambayo tunajadili ni kwamba kuna viongozi ama serikali dhalimu ambazo hazifuati sheria. Wananchi wanapoenda kortini na uamuzi kutolewa, viongozi hawa hujitwika mzigo wa kiubabe na kuwafurusha kutoka makaazi yao. Japo serikali ya kaunti inataka kubadilisha sura ya eneo hili, lazima wawe na utu moyoni, kuhusisha wananchi katika mjadala wa kukubali kwamba mradi huo ni muhimu. Kisha, wapeane maeneo mbadala pale ambapo wananchi hao watahamia. Vile vile, wakubaliane na wananchi kwamba wanapohama mahali hapo, mradi utakapokamilika wapewe nafasi ya kwanza kuishi katika maeneo hayo. Ukiangalia katika maeneo kadhaa nchini Kenya wale ... view
  • 1 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 1 Mar 2023 in Senate: itajenga vyumba mbalimbali kwa wananchi, ni haki kwao kuwafurusha watu haraka ili wanufaike na pesa za Serikali. Lazima utu uwepo, sheria ifuatwe, watu wahusishwe na kila mtu apate haki yake nchini. Ninaunga mkono yale ambayo watu hawa wameleta Seneti. Ninaomba Kamati ambayo inahusika na mambo haya iende ndani kwa kina ili kuhakikisha kwamba Mkenya halalamiki wala hahangaiki kujivunia kuwa Mkenya. view
  • 1 Mar 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Kuhusiana na mradi wa NAGRIP ambao Mhe. Osotsi ametaja, vile vile, katika kaunti ambayo nawakilisha hapa Bunge, kuna maswala tata ambayo Kamati ya Ukulima na Mifugo lazima iangazie. Hii ni kwa sababu tuko katika mfumo wa kupokezana awamu ya uongozi kutoka gavana waliokuwepo na wale ambao wameingia sasa. Hivi kwamba, katika bajeti kuna fedha ambazo zinaenda katika kaunti zetu. Itakuwa jambo la busara Kamati ya Ukulima na Mifugo iweze kuangazia maeneo haya kwa haraka ili iwapo kuna wale ambao wamekuwa wakijipa kandarasi, ama vile vikundi vya wakulima mashinani, iwapo kikundi kimoja kinaweza kuwa familia nzima ... view
  • 1 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus