All parliamentary appearances

Entries 51 to 55 of 55.

  • 3 Jul 2013 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I beg to give Notice of the following Motion:- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 3 Jul 2013 in Senate: Bi. Spika wa Muda, nafikiria Hoja hii inagusia sana maswala ya akina mama, mbali na visa vinavyozungumziwa kuhusu ujambazi pekee. Tunaona kwamba kuna umuhimu sana wa barabara hizi haswa inapofika wakati ambapo kina mama kule vitongojini wanapokuwa na uchungu wa kuzaa. Wengi wao hufa kwa sababu ya ukosefu wa barabara. Kwa hivyo, security roads zinaongelewa ni muhimu. Lakini barabara hizi zinahitajika kwa mambo mengi sana na sio tu kwa cattle rustling ama vita dhidi ya ujambazi. Kuna umuhimu wa barabara hizi kwa watu walio wagonjwa mahututi mahali hakuna barabara kama kwetu ninapotoka, Ugiriamani. Barabara tunazotumia ni hivi vibarabara vyembamba sana. ... view
  • 2 Jul 2013 in Senate: Kwanza, ningependa kukushukuru, Bw. Naibu Spika. Nimesimama kwa muda mrefu hadi nikakata tamaa. Asante kwa kunipa nafasi hii. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 2 Jun 2013 in Senate: Kwanza, ningependa kukushukuru, Bw. Naibu Spika. Nimesimama kwa muda mrefu hadi nikakata tamaa. Asante kwa kunipa nafasi hii. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 30 Apr 2013 in Senate: Bw. Spika, Waheshimiwa Maseneta wenzangu, nina masikitiko kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kusimama mbele yenu na ninasimama kwa ajili ya rambirambi za kifo. Sikutarajia kusimama hapa mara yangu ya kwanza kutoa rambirambi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus