All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 55.

  • 1 Apr 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I thank you for this opportunity to speak for the voiceless through this Petition made to the Senate by family members, relatives and friends of Kenyan workers in Saudi Arabia, calling for the protection of Kenyan domestic workers in Saudi Arabia and the Middle East. Mr. Deputy Speaker, Sir, the undersigned citizens of the Republic of Kenya comprising of family members, relatives and friends of Kenyan workers suffering in Saudi Arabia and concerned members of the public committed to nurturing and protecting the wellbeing of the individual Kenyan workers in Saudi Arabia, their families, communities and ... view
  • 3 Mar 2015 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for this opportunity. I thank you for this chance this afternoon. I bring the voice of the people of Busia through this Public Petition to the Senate under the Constitution of Kenya Articles 1, 2, 3, 4, 10, 12, 19, 20, 21, 22, 24 25, 26, 27, 28, 29, 37, 39, 40, 42, 43, 46, 47, 70, 238 and 119 as read with Articles 93, 94 and 96 to the Standing Orders Part 24 of Public Petition. This is a petition for the protection of the socio-economic, environmental, human dignity and other constitutionally protected rights ... view
  • 13 May 2014 in Senate: Asante, Bw. Spika. Mimi nina furaha sana kwa kikao hiki. Ninaringa kuwa mimi kama Seneta nimepata nguvu. Nataka kusema kuwa kijembe kile ambacho kimemnyoa Wambora kiwekwe vizuri ili kitembee Kilifi, Mombasa na kuingia Kenya nzima. Bw. Spika, kwa sababu hiyo, ninaunga mkono Hoja hii. view
  • 26 Mar 2014 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bwana Spika. Kuhusu swala hilo, kuna kitu sijaelewa. Mtu akitaka cheti cha kuzaliwa, ni lazima apeane kitambulisho cha nyanya, babu, watu waliokufa zamani ambao vitambulisho vyao vilipotea? Ukiwa Mdigo, mtu ambaye anakufa kutokana na mkasa wa ferry, hauwezi kupata cheti hiki hadi upeane vitambulisho vya watu ambao walikufa zamani. Hivyo ni sawa? view
  • 25 Mar 2014 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity to bring to this House a public petition, under the Constitution of Kenya, Articles 1, 2, 3, 4, 10, 12, 19, 20, 21, 26, 27, 28, 29, 37, 42, 70 and 199 as read with Articles 93, 94 and 96; under Standing Order No. 24 on Public Petitions. Mr. Speaker, Sir, this is a Petition for the protection of the environment and other constitutionally protected rights and fundamental freedoms of the residents of Owino- Uhuru Village in Mikindani Ward, Jomvu Constituency, Mombasa County. I will read the Petition as it ... view
  • 17 Oct 2013 in Senate: Bi. Spika wa Muda, Sen. Beth Mugo ameeleza ya kwamba hakuna hospitali ambayo wagonjwa wa tuberculosis hulazwa na wagojwa wengine. Yeye hakusema kwamba wagonjwa hawalazwi pamoja. Ameongea kuhusu tuberculosis . Ningependa pia kumuunga mkono na kusema huo sio ukweli. Hata kama hospitali zetu zina uhaba wa vitanda, wagonjwa wa tuberculosis hawawekwi na wagonjwa wa maradhi mengine. view
  • 17 Oct 2013 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda kwa nafasi hii. Kwanza ningependa kupongeza Kamati ambayo imeleta Ripoti hii ambayo imewasilishwa hapa na Sen. (Dr.) Kuti. Ni mapenzi yangu kwamba siku za usoni watafika pwani. Najua kwamba safari ya maili elfu moja huanza na hatua moja. Najua hii ni hatua ya kwanza na wataendelea kutembea ili wafike kila sehemu ya Kenya na kutuletea Ripoti ya jumla ambayo huenda itasaidia taifa hili. Bi. Spika wa Muda, pengine kwa kuongezea, ningependa kusema kwamba hawajafika eneo la pwani. Kuna maswala mengi ambayo tukijadiliana, huenda tukasaidiana. Shida ambayo tuko nayo kwa upande huu si kwa sababu ya ... view
  • 17 Oct 2013 in Senate: Natumia kitu kinaitwa utohozi. Utohozi ni kugeuza neno la Kiingereza kwa Kiswahili ama Kiswahili kwa Kiingereza. Kwa hivyo hiki ni kitu kinaruhusiwa. view
  • 17 Oct 2013 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Utapata kwamba wagonjwa wamepewa nambari kutoka moja hadi mia moja. Kwa sababu ya uhaba wa madaktari inabidi watu wengine kufariki kabla hawajafikiwa. Kwa sababu ya hili huwa inabidi watu kuwaona daktari kwenye hospitali yake ya kibinafsi. Kwa hivyo sisi ambao tuko na uwezo wa kumuona kwenye hospitali yake, tunaangaliwa kwa nambari ya mbele. Hili jambo linaumiza wananchi wengi ambao ni maskini. Kwa hivyo kuna wengi ambao wanakufa. Nimeshuhudia kisa hiki katika hospitali ya Mariakani. Bi. Spika wa Muda, tukiangalia upande wa akina mama kujifungua, ni jambo ambalo halijatiliwa maanani. Kama vile Katiba yetu imesema, kila ... view
  • 9 Oct 2013 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa nafasi hii. Ningependa kumpongeza Seneta Karaba kwa kuleta Hoja hii nzuri sana ambayo inalenga kwetu pwani. Tukiangalia uchumi wetu wa Kenya unachangiwa na utalii. Tukiangalia kama kwetu pwani, kuna mahali pengi sana ambapo shughuli za utalii zinaweza kunawiri, lakini zimefifia kwa sababu ya barabara. Usafiri umeleta changamoto kwa watalii kuweza kufikia maeneo fulani. Kwa mfano, Mekatilili ambaye alikuwa mpiganiaji Uhuru wa nchi yetu ya Kenya, ni mama aliyejulikana sana ulimwengu mzima na kila mtalii anayetembelea nchi ya Kenya hutamani kujua pahali yule mama alikozikwa, lakini imekuwa ni vigumu sana kwa watalii kufika mahali pale. Kama ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus