All parliamentary appearances
Entries 1661 to 1670 of 1711.
-
12 Jun 2013 in National Assembly:
shamba na sasa bei ni ghali mno kwa sababu wanatafuta tiba kila mahali na mwishowe, utapata hata hawawezi kutibiwa na wanaendelea kuathiriwa na magonjwa.
view
-
12 Jun 2013 in National Assembly:
Kwa hivyo, nikiunga mkono, ningependa kusema kwamba kama nchi, lazima tuhakikishe kwamba yule Controller wa Budget anaangalia ni mbinu zipi tunatumia katika makadirio ya Serikali kwa sababu nafikiri kuna dosari. Kuna dosari kwa sababu yale mahitaji ya Wakenya, ukikisia vile ambavyo tunatengeneza bajeti yetu--- Umesikia kwamba Mwenyekiti wa Kamati ya Afya ameorodhesha yale mahitaji mengi katika Wizara ya Afya. Umesikia huu Mswada unahitaji pesa nyingi za watu kulipwa ili waajiriwe kuwafanyia Wakenya kazi. Lakini bado utasikia kuna tetesi kwamba hamna pesa. Ile bajeti ya Serikali ya kitaifa na ile njia inatumiwa kuhakikisha kwamba tunapata hiyo bajeti haihusishi Wakenya. Ni watu ...
view
-
12 Jun 2013 in National Assembly:
Kwa hayo machache, naunga mkono.
view
-
12 Jun 2013 in National Assembly:
Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuiunga mkono Hoja hii kuhusu wafanyikazi wa umma katika sekta ya afya, nikitathmini ya kwamba Wakenya wanaongezeka kwa idadi kubwa sana. Ripoti ya census ya mwaka wa 2009 inaonyesha kwamba Wakenya wanaongezeka kwa kiasi cha milioni moja kila mwaka. Hii inamaanisha kwamba vifaa vilivyoko kwenye mahospitali yetu haviwezi kukidhi mahitaji ya matibabu ya Wakenya. Kulikuwa na tetezi kwamba ni vizuri wauguzi wetu waende kufanya kazi katika nchi za nje kwa sababu watakuwa wanachangia kuleta fedha za kigeni na kuzisaidia jamii zao. Ningependa kusema kwamba jambo la muhimu ni kuhakikisha kwamba Wakenya wako ...
view
-
12 Jun 2013 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, ukiangalia vizuri ni kwa nini nchi za kigeni zinahitaji watabibu wetu na sisi wenyewe hatuwezi kuwaajiri? Ingekuwa ni vyema kama wale ambao tunasema waende kufanya kazi kule nje wangekuwa zaidi ya wale ambao tunaweza kufundisha hapa. Lakini kuwa na mikakati ambayo inaonyesha kwamba vijana wetu wanakwenda shuleni, wanapata masomo ya afya na uuguzi lakini hawawezi kupata kazi, basi ni kuonyesha kwamba tunatumia pesa za umma vibaya. Kwa hivyo, ni muhimu sana kuhakikisha kwamba kuna utangamano kati ya zile hospitali na zahanati tunatengeneza kutumia zile pesa za umma kama vile CDF na watu watakaoweza kuwahudumia Wakenya ...
view
-
12 Jun 2013 in National Assembly:
Ukiangalia, kwa mfano, ugonjwa wa saratani, umeongezeka kama vile miaka inavyokwenda ilihali, ugonjwa huo unaweza kutibiwa ikiwa kiwango chake hakijaweza kukidhiri. Kwa hivyo, kama hizo zahanati na hospitali zitakuwa na watabibu na wauguzi, itakuwa ni jambo la muhimu kuhakikisha kwamba magonjwa hayo yametibiwa kwa kiwango cha chini. Utakuta kwamba tangu tuanze kuzungumzia maswala ya afya katika Bunge hili la Kumi na Moja, kumekuwa na Miswada minne iliyowasilishwa na Wabunge tofauti kuhusu afya. Tulikuwa na Mswada wa hela za NHIF, wa Emergency Treatment, wa Saratani na sasa huu. Hii inamaanisha kwamba sisi kama nchi tunafaa kufikiria kwa undani na kina na ...
view
-
6 Jun 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, Sir, I rise to support the Motion on this Bill on the Report of the Committee and without belabouring what my other hon. colleagues have said, Article 95(4)(a) of the Constitution is very clear that the role of dividing revenue at the national and county level is the express mandate of the National Assembly. In fact, for purposes of this Motion I would want to read it. It says: “The National Assembly – (a) determines the allocation of national revenue between the levels of government, as provided in Part 4 of Chapter Twelve.” Hon. Speaker, Sir, and the ...
view
-
4 Jun 2013 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker, Sir. I rise to support this Motion. As somebody said, indeed, hunger is not natural neither is it inevitable. In actual sense it is a consequence of co-ordination failure. If you look at the kind of apathy that is developing in our country, especially with regard to land use management practices, you will find that it is because farmers have been frustrated in their quest to ensure that they are able to have gainful livelihoods through their produce.
view
-
4 Jun 2013 in National Assembly:
If you look at Kiambu County where I come from, you will see that people are abandoning coffee farming in exchange for real estate. This is a dangerous trend because most Kenyans do not own huge tracts of land like some people who are well known.
view
-
4 Jun 2013 in National Assembly:
Hon. Speaker, Sir, this Motion is important because it seeks to address the cost of fertilizer in this country. If you look at the kind of money we are spending as a country to import fertilizer, you will find that we will be able to save a lot of funds that can be used on other development activities. It is not because we do not have good agricultural policies. In fact, the French word for policies is “ pon politic” which means “good politics”. There has been politicization of the NCPB, which is seen as a cash cow for some ...
view