John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 401 to 410 of 2259.

  • 21 Jun 2023 in Senate: Kwa hivyo, isikuwe hata taarifa hii ambayo imeletwa hapa na Sen. Sifuna, Seneta wa Nairobi, itakuwa ni ya kawaida. Tutasema ni mambo ya moto halafu baada ya miezi mitatu tena kutaletwa taarifa nyingine. Itaonekana na wananchi wakenya kama sisi tunakuja hapa tu kuongea na kuongea bila vitendo vyovyote. Kwa hivyo, Kamati ambayo itakayo pewa hii jukumu wasifanye tu utafiti pekee yake lakini walete suluhu la kudumu ndio Wakenya waweze kupata suluhu kutoka kwa Seneti na waweze kutushukuru kwa kazi ambayo tunafanya nzuri. Bw. Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No. 53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on land, Environment and Natural Resources, regarding an update on the resettlement status of Kwambuzi squatters in Laikipia County. In the Statement, the Committee should – view
  • 21 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: (1) Provide a Status report on the implementation of the resettlement plant for the Kwambuzi squatters by the National Land Commission (NLC) following resolution vide letter NLC/ CHAIRMAN/ VOl 22/ 2015 dated 9th July, 2018, stating the alternative land the squatters were allocated. (2) Ascertain the number of original squatters in Kwambuzi, outlining their identification details. (3) State measures put in place by the relevant authorities to ensure the safety and well-being of the Kwambuzi squatters. I thank you. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I have been reading and watching in the news the issue of importation of edible oils, which has been equated almost to a scandal. Kindly, can the Cabinet Secretary elaborate to this House the interest of the importers in this issue and the connection of the same to the media of this country? Thank you. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Nasimama kuunga mkono Hoja iliyoletwa na ninawapongeza Sen. Mungatan na Sen. (Prof.) Kamar kwa kazi nzuri ambayo wamefanya. Sijasahau kuwa hawa ni wazoefu na wajuzi katika maneno ya utunzi wa sheria pamoja na utetezi wa wananchi. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Muhula uliopita sikuona hoja kama hii ya Bunge la Afrika ikiletwa katika Seneti. Hili ni jambo la kutia motisha vile Sen. (Prof.) Kamar ameleta Mswada huu. Sheria zinazotungwa kule zinafaa kuidhinishwa katika nchi zetu zote ili zitumike kwa usawa. Pesa zinazotumika katika biashara ni za aina tofauti kulingana na nchi. Kwa mfano, Kenya, Uganda na Malawi zinatumia pesa tofauti. Tunategemea Dola ya Marekani. Dola inapokosa, Afrika tunajipata katika hali mbaya. Maisha yanakuwa magumu kwa sababu kila kinaongezeka bei. Wakati Kenya ilipigania uhuru kulikuwa na watu waliojulikana kama “Mau Mau”. Sitaki kueleza kwa urefu kwa sababu inaweza kuleta hali ya sintofahamu. ... view
  • 20 Jun 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 20 Jun 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I put my intervention when Sen. Cheruiyot was speaking but you did not pick it. It is concerning the--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus