27 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
27 Apr 2023 in Senate:
wake. Pia hapa nchini nalinganisha mhubiri fulani na hali hiyo. Ulafi ambao unaonekana katika nchi yetu unapata wahubiri wengi hawaoni waumini kanisani, bali wateja wao. Ninamuona Sen. Wafula yuko katika Kamati hii. Ninawaomba mliangazie suala hili kwa undani kabisa. Tuangalie vizuri tuone ni kwa nini maafa haya yalitokea? Je, ni umaskini tulio nao katika nchi ya Kenya ambapo waumini wanaenda wanafunzwa mambo ambayo hayafai? Sio wachungaji peke yao wana makosa, hata sisi kama waumini tuna makosa kwa sababu tunapaswa kung’ang’amua ni lipi mbivu na ni lipi mbichi. Nilikuwa naangalia jambo fulani katika simu yangu na nikaona watu wamepiga foleni ili ...
view
26 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. The Marmanet evictees petitioned this House for their compensation. The CS, Hon. Njeru, was in Laikipia County and came face to face with the Marmanet evictees. We also have Kiamburi evictees in Laikipia East Constituency. The Committee involved did a report, which was taken to the Ministry. It was agreed that those evictees are supposed to be compensated. I wanted to know from the CS, what level we are. Are we going to wait for two, one or six months for us to be compensated? Mr. Speaker, Sir, I have listened to the CS and ...
view
26 Apr 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I said so. This House was petitioned and the matter was handled, and it is before the Ministry. The reason I am asking is because I know it is squarely in his Ministry. We discussed with him unofficially while taking tea. So, maybe he will be aware of that matter because he was in Laikipia.
view
26 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
26 Apr 2023 in Senate:
It is not life before the Committee because they concluded the matter and took it to the Ministry. So, that is why I am asking the CS if he can answer where we are at with it.
view
25 Apr 2023 in Senate:
On a point of order Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika. Hoja yangu ya nidhamu ni kuwa, ni kawaida yetu wageni wanapotutembelea tuwakaribishe. Tuna wajumbe kutoka Murang’a ambao wametutembelea. Kwa sababu Seneta wa kutoka Murang’a hayuko, nimechukua jukumu hilo kama Kamishna.
view
25 Apr 2023 in Senate:
Kwa unyenyekevu mwingi na kwa sababu Sen. Joe Nyutu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu. Itakuwa ni kosa, dhambi na laana kwangu mimi kama sitawakaribisha wajumbe hawa wakiongozwa na Naibu wa Spika pamoja na Kiongozi wa walio wengi---
view
25 Apr 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Hakusema lolote.
view