John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 471 to 480 of 2259.

  • 25 Apr 2023 in Senate: Vile vile ikiwa ni ndege moja itapewa ruhusa ya kuzuru Mombasa, hakutakuwa na mashindano. Pia watalipisha nauli wanavyotaka. Tukikubali mashirika ya ndege mengine kuzuru na kutua kule itakuwa jambo la manufaa kwa wateja na watalii wataongezeka. Ndio maana tumetengeneza reli inayoenda Mombasa. Bw. Naibu Spika, ni vizuri hata ndege zile zingine ziwe zikitembelea pale. Jambo hili litaongeza ajira kwa vijana wetu. Utalii nchini utaimarika kwa kuwa watalii wengi watazuru Kaunti ya Mombasa kwa sababu nauli itakuwa imeongezeka. Uchumi wetu umezorota, na wananchi hawana hela. Ndege nyingi kutembelea Mombasa zitaleta ushindani kibiashara na bei zitapungua. Nimesikia Sen. Wambua akisema kuwa sina ... view
  • 25 Apr 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, nina hofu kidogo kwa sababu, siku ya leo amenitaja mimi na Sen. Madzayo. Siwezi nikaongeza zaidi kwa sababu haelewi. Kabla ndege haijatua, huwa inazuru ndio iweze kutua. Ni lugha ya Kiswahili ambayo hafahamu. view
  • 25 Apr 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 25 Apr 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, it is in the public domain and even in the Kenya Gazette, that Sen. Cherarkey is an advocate of the High Court. view
  • 25 Apr 2023 in Senate: It is not in our Standing Orders. It is in the Kenya Gazette . The Kenya Gazette states very clearly--- view
  • 25 Apr 2023 in Senate: He is. You cannot come here and say I am insinuating. He does not allege. It must be known that the Committee of this House has only nine Members. When the report is brought here, it can be amended by this House. So, it is no big deal when Sen. Ali Roba brought a report here and it was amended. The Senate was doing its work. The Senator for Narok County cannot come here and tell us that the report was brought. So many reports have been brought into this House and amended. This is not the first one. view
  • 13 Apr 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 13 Apr 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, if I heard the Senate Majority Whip correctly, he was reading a document, which we have been provided with. He is reading word for word. If in seconding you are supposed to duplicate what the Mover did word for word, then I do not understand what we should be doing in this House. This is because he was reading a document and I am following word for word. Maybe the because of millions--- view
  • 13 Apr 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I want you to guide me--- view
  • 12 Apr 2023 in Senate: Bw. Spika, nawashukuru wenyeviti ambao wamesoma Taarifa zao hapa. Ijapokuwa tunawashukuru, ni jambo la kuvunja moyo kwa sababu suala la waliokuwa madiwani limekuwa sugu na nyeti. Nakumbuka wakati Sen. Madzayo alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Labour view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus