30 Mar 2023 in Senate:
Kabla hamjaenda nyumbani, mtembelee mbuga zetu za wanyama ndio muweze kuona mambo ambayo tunafanya hapa Kenya. Mpeleke salamu zetu mkirudi nyumbani. Asante, Bw. Naibu Spika.
view
30 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika Wa Muda, ninasimama kuunga mkono taarifa hii. Elimu ya uraia ni muhimu sana katika gatuzi zetu. Kama vile inavyosemwa, ujuzi ni nguvu. Wakati mwingi, raia wanaenda kupewa masomo wakati wa kuna uchaguzi. Hata hivyo, maisha hayaanzi na kuisha na uchaguzi. Kuna mambo mengi sana ambayo yanapaswa kufunzwa. Wakati huu, watu wanazungumzia sana jinsi gharama ya maisha imepanda. Tukienda kufunza wananchi kuhusu njia bora za ukulima; mbegu au mimea ambayo wanapaswa kupanda na wakati upi, hii ni elimu muhimu ambayo itafaa katika gatuzi zetu. Bw. Spika Wa Muda, Sen. Murgor amedokezea kwamba shida nyingi zinatokana na wanachi kutoelewa na ...
view
30 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
30 Mar 2023 in Senate:
gatuzi zetu na sio katika miji peke yake. Hii ni kwa sababu watu wa mijini wanaelewa mambo. Lakini kwa ground mambo ni tofauti kwa sababu hapo kuna maneno. Kwa hivyo, ninaunga mkono Taarifa hiyo. Tuifuatilie na tuangazie yaliyoletwa kwa kindani. Ninashukuru.
view
30 Mar 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is because of the side where I am sitting. I am not used to it. I commend the good work that the Chairperson has done with his Committee. I know that one and the Senate Majority Leader will confirm that previously, that was done. After every three months, the Chairperson would come and give the Report of his Committee.
view
30 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
30 Mar 2023 in Senate:
However, I have listened to one Petition that if my memory serves me right, was brought by Sen. Sang now Governor of Nandi County concerning a certain community in Nandi. I do not know whether it is Talai. It was brought and the Senate Majority Leader would confirm because he was there. It was brought by Governor Sang and again by Sen. Cherarkey. My worry is this, are we just doing some investigations and then we fill in our shelves or do we need an Implementation Committee, so that they can follow what the Committee has recommended? Instead of us ...
view
23 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, kuanzia mwanzo, naunga mkono Hoja hii na marekebisho yote yaliyoko. Ni vizuri ijulikane kwamba tukisema Mawaziri watakuwa wakija hapa, haimaanishi hawatakuwa wakialikwa katika kamati zetu jinsi ilivyokuwa. Mambo mengine yananikera ninaposikia watu wakisema Bunge ni tofauti na uongozi mwingine. Huo ni ukweli. Hata hivyo, tumekuwa tukiwa na vikao vya Seneti nzima kama vile vya kamati kwa sababu huwa tunaalika Mawaziri hapa. Sen. Okiya Omtatah amesema kuwa Waziri hawezi kuja katika Seneti kwa sababu Mawaziri wanaalikwa na kamati. Bw. Spika, ningependa Sen. M. Kajwang’ anisikilize. Amesema kuwa watakuwa wanauliza Mawaziri maswali magumu ambayo watashindwa kujibu. Ningependa kumkumbusha Sen. M. ...
view
23 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
23 Mar 2023 in Senate:
anaotupa hauridhishi. Tutaambiwa tu kwa barua. Waziri anapokuja mwenyewe, atakuwa anajibu maswali. Tayari Sen. M. Kajwang’ ameunga mkono kwa sababu amesema tutakuwa tunauliza Mawaziri maswali magumu. Alisema kuwa akiangalia Seneti hii, kura ikipigwa, Hoja hii itapitishwa. Huo ni ukweli. Mgala muue na haki umpe. Tumekuwa tukiuliza Wenyeviti maswali. Baada yao kuleta majibu, huwa tunalalamika kuwa hawajaleta majibu ya kuridhisha. Kwa hivyo, ni vyema tukubaliane.
view