John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 521 to 530 of 2259.

  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika tumetembelea nchi zingine ambazo tunaziiga, na tukaona vile wanavyojadili. Wakati mwingine tunapojadili, jadhba inapokupanda unapaswa kusema jambo ulilonalo. Lakini, ikiwa unatuogofya na kutushtua, basi mijadala yetu itakuwa inachechemea. Bw. Spika, ninakuomba usimame na uamuzi uliotoa kwa sababu tumekaa wiki tatu bila ndugu zangu wa upinzani. Hata wiki ya nne na tano ni sawa. Wangoje ufanye uamuzi wakati utakapotaka, kulingana na Kanuni za Bunge hii. Bw. Spika, ninashukuru. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nashukuru kwa kunipa fursa. Mimi ni Mwanakamati wa Kamati ya Kudumu ya Barabara, Usafiri na Makazi. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: ( (Sen. M. Kajwang spoke off record) view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika wa Muda, ukisoma kitabu--- Ni vizuri ijulikane ya kwamba viongozi ama mashujaa huchipuka wakati kuna janga na wakati huu kuna janga. Mimi ni mmoja wa Kamati hii ya Barabara, Uchukuzi na Makazi. Tulipata ujumbe kutoka kwa Seneta wa Homa Bay akisema ya kwamba ombi lililokuwa limeombwa na sisi tulikuwa tumejitayarisha kuendelea na haya maneno kwa sababu ya muda uliowekwa. Japo, Sen. M. Kajwang akatuambia kunaweza kuwa na mvutano na vurugu. Ni vizuri kwa sababu hakutaka tujipate katika hali ya sinto fahamu wakati tukifika huko. Lakini tumekuwa tukisema kila wakati tutatembea pale, kunakuwa na sababu ambayo inatuzuia kufanya ... view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninakumbuka tulipokuwa tukiwasiliana katika ile Kamati, Sen. M. Kajwang’ hakuwepo. Kulingana na vile amesema kwamba, hakujulishwa na Kamati, ninachukua jukumu kama Mwanachama, kumuomba msamaha. Kuomba msamaha haionyeshi unyonge, inaonyesha uongozi. Ni vizuri wakati mwingine sisi kama viongozi kukubali makosa ambayo tumefanya na tuombe msamaha, ndiyo tuweze kuendelea. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw Spika wa Muda, dua lile --- view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nikinge kutokana na huyu kiongozi kwa sababu sijamaliza. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninaweza kuongea kuhusu Senata aliyepo katika Nyumba hii kwa sababu yuko na fursa ya kujitetea. Sikuongea kwa ubaya. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus