9 Mar 2023 in Senate:
Tofauti iliyoko pengine ni rangi ya ngozi. Wengine wetu wanajaribu kubadilisha rangi zetu ili wafanane wale wazungu kwa sababu hatujiamini. Naomba kamati husika zishugulikie mambo haya kwa undani. Niwasihi watembelee shamba ambazo zimenyakuliwa wafanye uchunguzi kwa undani. Bw. Spika, kwetu Laikipia kuna Wazungu ambao wanasumbua Waafrika. Ninakumbuka muda ulioyopita, nakumbuka kuna Mzungu ambaye alikuwa akiwapiga risasi watu kwa kutembea katika shamba lake. Inaonekana hakuna chochote kimefanywa.
view
9 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Sisi tuko katika nchi yetu ambayo tulipewa na Mungu. Kwa hivyo, tunapaswa kuishi bila kuogopa mtu yeyote kwa sababu hii ni nchi huru. Kwa hivyo, Kamati ya Mashamba na Ukulima na Kamati ya Leba zinafaa kuangalia na kuuliza maswali haya magumu. Kwa mfano, kwa nini sisi hatujiamini kuondoa ukoloni mamboleo na tuweze kujiamini? Mwafrika, Mwingereza, Mhindi au mtu wa rangi yoyote, mbele ya Mwenyezi Mungu, sisi sote ni sawa. Nikikatwa, damu yangu, kama mtu mweusi, ni nyekundu. Damu ya mzungu pia ni nyekundu.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, nasimama kuunga mkono Taarifa hii iliyoletwa na Seneta wa kutoka Embu. Shida kubwa ilioko kulingana na vile nimesikia ni kwa sababu ya ukiritimba. Unapata ya kwamba Shirika la Nguvu za umeme, Kenya Power, ndio wenye jukumu ya kusambaza nguvu za umeme katika nchi yetu ya Kenya. Kwa hivyo, wanafanya mambo kiholela vile ambavyo hawapaswi kufanya bila kuwa na mtu mwingine aliyekatika hali ya mashindano nao. Kwa hivyo, naomba Kamati ya Kawi ambayo inaongozwa na Sen. Wamatinga, waweze kujizatiti na kuwauliza maswali magumu. Tunafaa kuwa na kampuni zingine ambazo zinaweza kuchukua fursa ile na kusambaza nguvu za umeme ili ...
view
9 Mar 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I am standing under Standing Order No.1, under which you have power to rearrange the Orders in the Order Paper.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise, pursuant to Standing Order 52(1) to make a Statement on an issue of countywide concern regarding an appeal by the Laikipia County Assembly for adjustment of the proposed recurrent ceiling. Mr. Speaker, Sir, I am in receipt of a request by the County Assembly of Laikipia that the Senate considers adjusting the recurrent ceiling as proposed by Commission on Revenue Allocation (CRA) from Kshs507,677,108 to Kshs541,636,185.64. This request has been necessitated by the fact that the County Assembly has constructed a total of 15 ward offices for elected Members of the County Assembly (MCAs). The ...
view
9 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Mar 2023 in Senate:
the County Assembly as recommended by the CRA vide its recommendations on the County Governments’ Recurrent Expenditure Budget Ceilings for County Assemblies and County Executives for Financial Year 2023/2024 that were tabled before the Senate on 15th February, 2023. Approval of the same is within the purview of the mandate of this House. I urge colleagues in the Standing Committee on Finance and Budget, through the Chairperson, to give due attention to this request when they will be considering the County Allocation of Revenue Bill. I thank you for the opportunity to speak on this matter.
view