John Kinyua Nderitu

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 561 to 570 of 2259.

  • 7 Mar 2023 in Senate: On a point of order Mr. Speaker, Sir. view
  • 7 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika, Sen. Chute ananikanganya. Amesema ya kwamba Sen. Munyi Mundigi ameongea kuhusu korosho. Kama nilisikiliza vizuri, nilisikia akitaja makadamia. Sijui ni bei ya korosho au makadamia anataja. view
  • 2 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 2 Mar 2023 in Senate: Asante Bw. Spika. Ni ukweli kuwa wanyama wamekuwa wanasumbua watu huko Laikipia. Tumeandika taarifa tukiuliza hayo maswali. Ukitembelea sehemu za Sironi unapata watu wameshambuliwa na ndovu na kuuawa. Mimea yetu yote imeharibiwa na ndovu. Katika sehemu ya Manguo viboko wanashambulia watu. Mwenyekiti ambaye ni Seneta kutoka Kaunti ya Nyandarua, Sen. Methu, nimemskiza katika mikutano mingi akisema kuwa yeye ni kiongozi wa wanyama. Lakini inaonekana hawa wanyama wamemlemea. Sen. Methu anafaa kutumia lugha anayoelewa vizuri kwa sababu amekuwa akituambia katika kila mkutano kwamba yeye ni mwenyekiti wa mazingira na wanyama wako chini yake. Sijui sasa kama wanyama wamekaa juu yake kwa ... view
  • 2 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika nimemskia Sen. Faki akitaja mavazi ambayo yanafaa kuvaliwa lakini nikimuangalia Sen. Chimera amevaa mavazi ambayo yanakubalika katika Bunge hili. Amevaa “Kaunda suit” ambayo nimekuwa nikimuona Seneta kutoka Kaunti ya Kisii akivaa kila wakati. Tunaweza kumkubalia ndugu yangu Sen. Faki kwamba pengine haoni vizuri kwa vile amevaa miwani. Mimi niko karibu na Sen. Chimera na naona amevaa vilivyo. Ukimwona Sen. Faki, ako na miwani. Kwa hivyo, naweza nikamwia radhi. Sen. Chimera amevaa mavazi mazuri. view
  • 2 Mar 2023 in Senate: Bw. Spika, jana uliongea na ukasema ya kwamba mavazi ambayo hasa ni ya Kiafrika tunapaswa tuyatilie mkazo. Hii ni kwa sababu utamaduni wetu unafaa zaidi na tuweze kuutukuza. Ni kama vile ninavyoongea Kiswahili. Wengine wanasema ya kwamba sipaswi kuongea Kiswahili kwa sababu mtu anayeongea Kiswahili ni kama hajaelemika vilivyo. Anapaswa aongee lugha ya nyani ambayo ni Kiingereza. Sen. Chimera, ako sawasawa. Ijapokuwa sitaki kukwambia uamuzi utakaotoa, lakini, kwangu mimi na wengi walioko hapa, hata mwenzake wakili wa kutoka Kaunti ya Makueni anakubaliana na mimi kwa sababu anaona vizuri. view
  • 2 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 2 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir! view
  • 2 Mar 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I have listened to the Senior Counsel canvass this serious matter and I agree with him. I would only like to ask him; how then did the MCAs of Nyamira County impeach the CECM for a mistake she has not committed? It is KRA which committed this mistake! I beg the Senior Counsel to advise the MCAs to sympathise with the CECM because she is suffering for an injustice that she has not committed. This being a day for women, Senior Counsel, maybe you can defend her in a court of law. view
  • 2 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus