23 Feb 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, kuna taarifa ambayo imeletwa kuhusu vile benki zetu zinavyowanyanyasa Wakenya kwa kuingia katika akaunti zetu na kutoa pesa kiholela. Ni vizuri haya mambo yaangaliwe kabisa. Unapata ya kwamba mtu katika akaunti yake, amewacha akiwa na kiasi flani cha pesa. Wakati anapoenda kutoa, pengine analipa hospitali ama anataka kulipa karo ya shule ya mtoto, anapata pesa tayari zimetolewa na zimetolewa kwa njia ambayo hafahamu na haelewi. Kamati yetu ya Fedha inapaswa iangalie haya mambo kwa kindani na wale ambao watapatikana wamekuwa wakiwalaghai Wakenya kwa njia ile, wachukuliwe hatua za kisheria na waweze kuchukuliwa hatua kali ili benki zetu ...
view
22 Feb 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
22 Feb 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, did you hear what Sen. Cherarkey said? He said you look like a Talai. Unless he describes who those people are. He should clarify so that it can be on record that he said Maumau were compensated. Mr. Deputy Speaker, Sir, it will be better if he said ‘some of them.’ There are some who have not been compensated to date. By him saying that---
view
22 Feb 2023 in Senate:
He said you look like a Talai. I wanted him to explain what that is.
view
22 Feb 2023 in Senate:
He must first describe who those people are so that at least we would know so that we can draw a dichotomous key and tell whether he is one of them or whether you are one of them.
view
22 Feb 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker Sir.
view
22 Feb 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, am I safe?
view
22 Feb 2023 in Senate:
I now understand the reason why you threw some people out of this House. They are telling me that I am out of order yet you are the only person who can rule me out of order. Mr. Deputy Speaker, you have given me this opportunity. My Whip mentioned people who passed away and he put my name and that of Sen. Cherarkey. I am asking whether I am safe so that you protect me. He can substantiate what he meant because I do not know whether I am safe? When he mentioned Kariuki, I thought he was to speak ...
view
22 Feb 2023 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Nachukua fursa hii kuunga mkono taarifa iliyoletwa na Sen. Wambua. Ni ukweli kwamba Serikali imechukulia kwa uzito upanzi wa miti. Rais amesema tupande miti. Hili ni jambo la muhimu sana kwa sababu sehemu zilizo na miti kunanyesha lakini sehemu ambazo ni jangwa zimebaki vile kwa sababu hakuna miti. Ninapoongea, ukitembea sehemu ya Laikipia hasa Igwa Miti mahali Laikipia University iko, ni jambo la kuvunja moyo sana, kwa sababu pale kwenye chuo kikuu kazi wanaofanya ni kukata miti usiku na mchana bila kuzingatia yale Sen. Wambua aliyosema kwamba tupande miti. Kamati ...
view
21 Feb 2023 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Kwanza nataka kumweleza Kiongozi wa Walio Wachache kwamba “mhini na mhiniwa njia yao ni moja”. Nimeketi na kusikiza kwa makini na jambo linalonavutia pande zote mbili ni amri ya mahakama. Mahakama ikitoa amri yake, ni vizuri sisi sote tuiheshimu na kuifuata. Tukiwa watu wasiofuata na kuheshimu amri ya korti ambayo imetolewa vizuri---
view