30 Dec 2022 in Senate:
Point of order of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
30 Dec 2022 in Senate:
Bw. Naibu Spika, hoja yangu ya nidhamu haihusiani na Sen. Methu. Hakukuwa na Spika kwenye hicho kiti dakika kama mbili zilizopita na hiyo imenishtua. Wakati Sen. Methu alipokuwa anaongea, ni kama hakuwa anaongea katika Seneti ya Jamhuri ya Kenya kwa sababu hicho kiti hakikuwa na Spika, kilikuwa kuwa wazi.

Hatupaswi kutokuwa na Spika kwenye hicho kiti hata kama ni sekunde moja.

Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ninachukua muda huu kumpongeza na kumkaribisha, Sen. Wakoli, na kumwambia ya kwamba kaunti ambayo yeye mwenyewe alichaguliwa kama Seneta, imekuwa na Seneta ambaye amebobea sana na ambaye alikuwa na uzoevu wa kazi yake katika Seneti hii. Ningependa kumwambia kwamba mimi nikiangalia na kupiga darubini, ninaona atakwenda mbali kwa sababu alichaguliwa kuwa mgombea wa chama cha FORD-Kenya ambacho kiko katika mrengo wa Kenya Kwanza na wakaweza kufanya vizuri sana.

Ningependa kumwambia Sen. Wakoli kwamba ukiangalia watu wote ambao wametoka katika Kaunti ya Bungoma, kama vile Seneta ambaye alikuwa hapa, Spika ambaye ni Governor huko na tena, Sen. Wetangula, ambaye amekuwa Spika, sina shaka rohoni ya kwamba hata wewe utakuwa Spika na sio spika peke yake; utaenda mbali. Kwa hivyo, tunakuombea mema na ni vizuri ujue ya kwamba viatu utakavyo vaa ni vikubwa kwa sababu Sen. Wetangula amebobea katika mijadala na uzoevu wa kazi yake. Lakini sina shaka rohoni. Vile ulivyoambiwa na Sen. Cherarkey, utafunzwa na

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view