30 Dec 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
30 Dec 2022 in Senate:
kuelewa maneno. Sio magumu kwa sababu hakuna mtu ambaye alizaliwa akiwa anajua. Sisi sote tunasoma na tuna hakika ya kwamba hata wewe utafanya vyema na kuweza kuchunga mali ya kaunti yako kama vile Maseneta walioko hapa wanavyochunga na vile vile kupigania kaunti zao ili ziweze kupata pesa zaidi. Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii.

Ahsante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, nataka kupongeza Kamati hii kwa sababu wamefanya kazi nzuri wakiongozwa na Sen. (Dr.) Khalwale. Lakini kwa sababu sijasoma hii ripoti, kuna maswali niliyokuwa ninajiuliza. Kwanza kabisa hawa MCAs - madiwani wote ambao wako Kaunti ya Meru, wote walionekana kuegemea upande mmoja. Nilikuwa nikijiuliza hayo maswali kwani, ijapokuwa nimesikia ya kwamba Kamati waliongea nao na wakawaambia kwamba washikane na Governor ili waweze kuendelea mbele ni vizuri sisi tuweke sheria hapa kwa sababu kazi yetu ni kutunga sheria, itakuwa ni muda gani governor atakuwa nao ili aweze kuletwa hapa ili kutibuliwa. Jambo lingine ni ...

20 Dec 2022 in Senate:
Bw. Spika, nanikushukuru kwa kunipa fursa hii. Mimi nasimama kuunga mkono Kamati. Kisa na maana ni kuwa Kamati itaangazia kwa undani shutuma dhidi ya Gavana wa Kaunti ya Meru. Mimi nimekuwa hapa kuanzia muhula uliopita wakati tulijadili suala la kumuodoa gavana mamlakani kwa njia ya Seneti Nzima. Nilihisi wakati huo hatukuweza kuangazia shutuma dhidi ya gavana huyo kwa undani. Kwa hivyo, leo naunga mkono Kamati kwa sababu walioteuliwa ni Maseneta ambao ni wazoefu katika kazi zao. Kamati hiyo iko na Maseneta ambao walikuwa magavana hapo awali kama Sen. Mandago na Sen. Roba. Hao ni viongozi ambao walibobea katika kazi ya ...
view
20 Dec 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
20 Dec 2022 in Senate:
wa uchaguzi uliyopita. Lakini baada ya haya masuala yote kuangaliwa na Kamati teule, sisi kama Bunge tutakuja hapa tuyajadili na tuwe na msimamo wetu. Tuna jukumu lingine, tutapata fursa ya kuangalia ikiwa hii Kamati yenyewe itaona kuna dosari fulani, ama kuna shutuma moja ambayo wameona ni mbaya. Nina hakika tukiwa na Sen. Sifuna ambaye najua ni mzoefu wa mambo ya kisheria, ninaona kuna vijana kama vile Oketch na Kamau. Sijui ni kwa nini Maseneta wote hawajaridhika na kuunda kwa Kamati hii. Wengine wanasema ya kwamba ile impeachment ikifanywa katika Seneti Nzima tutajua vile masuala dhidi ya Gavana yalivyoendelezwa. Hakuna jambo ...
view
24 Nov 2022 in Senate:
Asante Bw. Spika. Nasimama kuunga mkono taarifa hii ambayo imeletwa na Sen. Kibwana.
view
24 Nov 2022 in Senate:
Lakini hata nikuunga mkono, kuna maswali ambayo tunapaswa tujiulize. Swali la kwanza tunapaswa tujiulize ni kwa nini hawa ndugu zetu wanang’oa hizi miti ya mibuyu na kuziuza?
view