8 Jun 2023 in Senate:
. Huduma zenyewe ni pamoja na choo, usalama na hata maji kama anauza maembe ama sukumawiki ili apate kuosha. Wakati unamlipisha Ksh30 na zingine tena za choo, hivyo ni kulipa ushuru mara mbili, yaani double taxation kwa Kiingereza. Huo wazimu wa own source revenue ama pesa ya makusanyo katika county, umepelekea biashara nyingi kufa. Ni vizuri pia niseme ya kwamba katika huu Mswada wa Fedha, Serikali ya Kitaifa itapelekea biashara nyingi kuharibika. Yule mama mboga ambaye anakusanya Ksh500,000 kwa mwaka, na yeye pia ataingia katika tax brackets kulingana na huu Mswada iwapo utapita. Bi. Spika wa Muda, mtu yeyote ambaye ...
view
8 Jun 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
8 Jun 2023 in Senate:
Nikimalizia, huu Mswada wa Fedha hautakuja kwa Bunge la Seneti. Huo Mswada uko Bunge la Kitaifa. Kama viongozi na kama Bunge la Seneti ambao tunawakilisha kaunti zetu, ni vizuri tuupinge kwa kinywa na sauti zetu zisikike ya kwamba hatutaki huo Mswada upite kwa sababu utakandamiza mama mboga na wale watu wa chini. Ninashukuru sana kwa huu muda.
view
6 Jun 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, for allowing me to read this Petition to the Senate on unlawful deduction of female teachers’ salaries by Kenya Women Teachers Association (KEWOTA): “We, the undersigned citizens of the Republic of Kenya, being representatives of female teachers from Taita-Taveta County employed by the Teachers Service Commission (TSC), wish to present this Petition to the Senate, on behalf of ourselves and also on behalf of 171 female teachers. We humbly draw the attention of the Senate to the following- THAT, Teachers Service Commission has been colluding with Kenya Women Teachers Association (KEWOTA), to unlawfully deduct Kshs200 monthly ...
view
6 Jun 2023 in Senate:
THAT the affected teachers have been writing to the Teachers Service Commission (TSC) by themselves and through the Kenya National Union of Teachers (KNUT) to stop the deductions without success. THAT in some instances, TSC stopped the deductions for a while that were later affected again. THAT teachers have a right not to be economically exploited by their employer in collaboration with the Kenya Women Teachers Association (KEWOTA). THAT the members have made every effort to resolve the matters raised in this Petition that has proved futile. THAT there is no case pending in a court of law, constitutional or ...
view
6 Jun 2023 in Senate:
(e) Advice KEWOTA to do a fresh membership recruitment drive which is within the law. (f) Take any other appropriate action it deems fit and your petitioners will ever pray. Dated 20th April, 2023. I thank you.
view
6 Jun 2023 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker for this opportunity to request for this Statement. I rise, pursuant to Standing Order 53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on Labour and Social Welfare regarding the public service workforce and state of the wage bill of the County Government of Taita-Taveta. In the Statement, the Committee should - (1) State the number of employees both partisan and non-partisan, the terms of employment, and the total wage bill accrued by the County Government of Taita-Taveta, stating compliance to the 35 per cent limit set in statute. (2) State whether a Capacity Assessment ...
view
31 May 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to request for these two Statements. Allow me to go through both of them.
view
24 May 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, asante kwa kunipa hii fursa, nichangie ardhihali ya Bw. Magembe. Ardhihali yenyewe inahusu umuhimu wa kutunga sera, sheria na kanuni za kudhibiti wanaofanya kazi katika soko la ukopeshaji. Ni bayana kwamba pesa zinahitajika na kuna umasikini katika jamii. Lakini, watu wengi ambao wameenda kukopa pesa kwa yale mashirika ya benki ambayo yako nje, wamepata dhiki badala ya faida. Kwa hivyo, kuna umuhimu wa kutunga sera na sheria za kutoa mwongozo kwa wale ambao wanakopesha pesa. Kwa mfano, tuwe na sheria za kuangazia sifa za wale wanaokopesha. Pia, tuwe na sera za kuangazia riba ambazo wakopeshaji watatoa kwa ...
view
24 May 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view