Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 741 to 750 of 1060.

  • 3 Nov 2011 in National Assembly: seconded. view
  • 3 Nov 2011 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I stand to oppose the amendment. It is the prerogative of the appointing party which has nominated Mr. Keynan to this position to decide in which capacity he will serve. Currently, Mr. Nyambati is facing a by-election. If we confirm Mr. Keynan on permanent basis, this will not go down well with Mr. Nyambati. view
  • 3 Nov 2011 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, PNU as a political party has nominated Mr. Keynan on acting capacity because we are waiting for the outcome of the by-election. This is our position. We are entitled to do whatever we want to do. We do not want to be dictated here. view
  • 3 Nov 2011 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, PNU as a political party can recommend the nomination of any hon. Member either on acting capacity or on permanent basis. However, some people want Mr. Nyambati to lose that seat so that they weaken PNU. I know this is a scheme by ODM. They want to send the message that Mr. Nyambati has been replaced as a commissioner. That is totally unacceptable! view
  • 3 Nov 2011 in National Assembly: On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir! view
  • 1 Nov 2011 in National Assembly: Mhe Naibu Spika, nashukuru kwa nafasi hii ili nichangie Hoja hii. Ninamwomba Waziri wa Matibabu katika nchi yetu asikie kilio cha Wakenya. Sauti ya mwananchi ni sauti ya kiongozi, na sauti ya kiongozi ni sauti ya Mungu. Bw. Naibu Spika, nimefurahishwa na wenzangu ambao wamechangia Hoja hii kwa sababu hawajazungumzia mambo ya ukabila. Hawazungumzii mtu awe wa sehemu fulani. Ninafurahi kwa sababu wanasema kwamba hata kama mtu anatoka pembe gani ya nchi hii, kama ana uwezo, anastahili kupewa nafasi kuongoza kituo kile cha matibabu. Ningetaka Waziri aelewe kwamba wakati anaulizwa kuvunja Bodi ilioko kwa sasa ni jambo limefikiriwa kwani wanaochangia ... view
  • 26 Oct 2011 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, ninakushukuru kwa nafasi hii. Ninaanza kwa kuunga Hoja hii mkono pamoja na mabadiliko ambayo yamependekezwa. view
  • 26 Oct 2011 in National Assembly: Ninasimama kwa masikitiko makubwa sana nikisema kwamba sisi kama taifa, tuliumia wakati wa Ukoloni. Tuliteswa kabisa. Na ni kwa sababu ya dhuluma kama hizi ndiposa wananchi wakaamua kwamba ni lazima wamng’oe mkoloni ili haki zao zilindwe. Baada ya mababu wetu kupigania nchi hii ili ubaguzi wa haki za Wakenya usimamishwe, inaonekana kwamba tunaishi katika himaya ya kikoloni kupitia watu wetu ambao wanastahili kulinda na kuzingatia maslahi ya Wakenya. Ukiangalia mambo ambayo yametajwa katika Ripoti hii ambayo imeletwa na Kamati ya Bunge, utaona kwamba sheria kuhusu wafanyikazi katika taifa letu la Kenya imo kwenye kitabu tu na haijaweza kudhihirishwa kulinda haki ... view
  • 26 Oct 2011 in National Assembly: Ukiangalia, utapata kuna mwananchi wa taifa hili ambaye amezaliwa na mzee na mama wa taifa hili. Juu yake, kuna mtu ambaye amesomeshwa na taifa hili, na yuko kwenye madaraka na anastahili kulinda haki ya yule Mkenya. Lakini utasikia kwamba mtu huyo amefanya kazi miaka 14 na bado rekodi za uajiri wake zinaonyesha kwamba yeye ni mfanyikazi wa kibarua. Ukiteremka, utapata kuna miaka mingine 10, saba, tatu na kadhalika. Bw. Naibu Spika wa Muda, mateso bila chuki yanaenezwa kwa mwananchi wa taifa hili ambaye anachagua Wabunge kama sisi. Kuna sheria za kikazi na kuna Serikali ambayo inafaa kumlinda ambayo iko na ... view
  • 26 Oct 2011 in National Assembly: Hakuna haki, ukweli na usawa katika mambo ambayo yanatendeka katika nchi yetu. Pesa ambazo watu 250 wanaitisha hapa ni Kshs9.5 milioni. Kwa uwazi na udhahiri, wale wezi hodari katika taifa letu ambao wanaiba pesa kidogo, wanaiba Kshs10 milioni. Hapa, tunauliza Kshs9.5 milioni kwa wananchi 250. Leo, tuna uhakika na uwazi kwamba wezi wale wa katikati ni wale ambao wanatoroka na Kshs5 milioni halafu wale wa juu hawajulikani. Wakenya hawa wanadai haki yao ilhali yule Karani wa Mji ambaye ameelimishwa na taifa hili na kuwekwa kwenye madaraka, mshahara wake hauchelewi. Bw. Naibu Spika wa Muda, sijui kama tumepata Uhuru au tunataka ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus