All parliamentary appearances
Entries 71 to 80 of 186.
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, what the hon. Member is implying is, that the Government does not wish to ensure that every Kenyan enjoys his or her constitutional rights, is not correct. The fact is that, the hands of the Government are tied by the High Court ruling, but if the House is so keen on empowering us then, soon, there will be the Media Bill (2007). Give us the power and we are going to enforce the Constitution and make sure that every Kenyan then can enjoy his or her constitutional rights. So, the ball is in their court!
view
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, my Ministry would love to do exactly what the hon. Member has asked and even more. That is why we, again, shall be asking the House to pass the Media Bill (2007)---
view
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
Of course, it has!
view
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
It has, it has! Oh, we will include it if you so desire!
view
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, we are in total agreement with the hon. Member; absolutely! We shall not only make it a policy, but we shall ask for more power to enforce the policy.
view
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba kujibu Hoja hii. Ninaomba kufanya hivyo kwanza kwa kumpongeza Mbunge kwa kuleta Hoja hii Bungeni, ambayo inaomba ruhusa ya kutayarisha Mswada wa sheria juu ya habari na mawasiliano. Bw. Naibu Spika wa Muda, pamoja na kumpongeza Mbunge, ningetaka kumtahadharisha kwamba ni kama juhudi zake kidogo zimechelewa kwa sababu hata yeye ana habari kwamba tayari Wizara imetayarisha Mswada wa sheria juu ya habari na mawasiliano, Mswada ambao tutauwasilisha Bungeni leo alasiri au kesho alasiri. Kwa hivyo, sidhani tungekuwa na sababu yoyote ya kuchukuwa msimamo kinyume na matakwa ya Hoja hii. Tunaiunga mkono, lakini tutasaidia kufanya ...
view
-
13 Jun 2007 in National Assembly:
Ni kweli, Bw. Naibu Spika wa Muda. Labda, ninaishangilia Bajeti, lakini nachukua tahadhari yako. Hata hivyo, ningependa kusema kwamba Wizara hii hapo nyuma, haikudhaminiwa ya kutosha. Kusema kweli, ilikuwa imeorodheshwa kama ya pili kutoka mwisho. Lakini sasa naiona kama Wizara ambayo itakuwa ya kwanza miongoni mwa Wizara zote tulizo nazo nchini. Bw. Naibu Spika wa Muda, nilimsikia mhe. Ochilo-Ayacko akisema ya kwamba ni muhimu kwa Wizara ya Habari na Mawasiliano iunde hazina ambayo itagharamia usambazaji wa tekinolojia katika maeneo yote ya nchi. Mswada ambao umetayarishwa na Wizara unashughulikia jambo hilo kikamilifu. Kuna hazina ambayo itagharamia usambazaji wa tekinolojia katika maeneo ...
view
-
22 May 2007 in National Assembly:
Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili nichangie machache kuhusu Mswada huu ambao utasimamia usalama pamoja na afya ya wafanyakazi. Najua swala la njaa halijatiliwa maanani May 22, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 1509 katika Mswada huu. Lakini naamini kwamba shibe au njaa ya wafanyakazi ni swala muhimu sana kuhusu afya yao. Nasema hivyo kwa sababu utakuta wafanyakazi wengi ambao wamefanya kazi hata miaka kumi bila kulipwa mishahara yao. Ukikutana na wafanyakazi hao, ni watu wa kuombaomba. Wanaomba chakula cha msaada. Wanafanya hivyo kwa sababu hawalipwi mishahara yao. Utawezaje kuongea juu ya afya ya mfanyakazi ambaye anashinda kazini na ...
view
-
22 May 2007 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, labda Bw. Osundwa hakuelewa ni kwa nini naongea juu ya mishahara. Naongea hivyo kwa sababu ikiwa mfanyakazi halipwi mshahara wake, hawezi kuhifadhi afya yake. Atahifadhi afya yake namna gani? Afya ya mtu inahitaji chakula!
view
-
22 May 2007 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, jambo lingine ni kwamba, wafanyakazi katika mashamba ya makonge wanafanya kazi hatari. Wanashinda katika maji ya makonge katika karakana ambazo zinatengeneza majani ya makonge. Maji hayo yamejaa sumu. Wafanyakazi wanalazimika kuingia katika maji hayo bila viatu na mipira ya mikono. Bw. Boit alisema ya kwamba wafanyakazi wanaokata mikonge, mikono yao imepindika inaka kama hii--- Huwezi kuamini! Mtu hawezi kukunjua vidole vyake vikakunjuka kwa sababu amevikunja miaka nenda, miaka rudi, mpaka maumbile ya mkono wake 1510 PARLIAMENTARY DEBATES May 22, 2007 yamebadilika. Hakuna fidia wanayolipwa. Hata mishahara wananyimwa. Unashindwa hao tunaoambiwa ni wakaguzi wa wafanyakazi wanafanya kazi gani? ...
view