All parliamentary appearances
Entries 51 to 60 of 186.
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, my point of order is whether the hon. Member is not misleading the House when he claims that Safaricom Limited is a multinational company, when, in fact, it is a national company, because the majority of the shares in that company are owned by Kenyans and not foreigners.
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
No, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Mr. Weya continues to insist in his explanation that it is a multinational.
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Hoja hii ambayo ni muhimu. Inahusu walemavu katika nchi yetu na hasa watoto walemavu. Nikianza, ningetaka kusema ni imani yangu kwamba jukumu la kuwaelimisha watoto walemave, na hata wale wazima, ni la Serikali. Wengine, kama makanisa na wafadhili, wanaweza tu kusaidia. Lakini jukumu lenyewe ni la Serikali. Serikali ina uwezo huo. Ni vyema Serikali itumie pesa za kodi kuhakikisha kwamba wale ambao hawana nguvu wanafaidika kutokana na pesa hizo. Bw. Naibu Spika wa Muda, ni jambo wazi kwamba kwa bahati mbaya jamii yetu haionekani kuwaheshimu walemavu ya ...
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nadhani hakuna---
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
No!
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
Prof. July 4, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 2285 Anyang'-Nyong'o, niko kwa jambo la nidhamu!
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kusema ya kwamba kuhusiana na jambo la nidhamu la Bw. M. Kilonzo, yale maoni yote ambayo yametolewa hapa, ni maoni ambayo yangetolewa katika mjadala. Kusema ukweli, wale waliongea walikuwa wanajadili Mswada huu. Hawana jambo ambalo kwa kweli ni tatizo la kikatiba. Isitoshe, Wizara yetu, wakati wa kutayarisha Mswada huu, ilipata ushauri kutoka kwa Mkuu wa Sheria kuonyesha ya kwamba hakuna chochote kilichomo katika Mswada huu ambacho ni kinyume cha Katiba. Kwa hivyo, mwanasheria mwingine akisimama hapa abishane na huo ushauri, basi nadhani jibu ni watu kufikishana mahakamani, lakini sio kuzuia mjadala uendele. Sioni ni ...
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
That is what I am saying!
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
You got to court!
view
-
4 Jul 2007 in National Assembly:
That is your view!
view