25 Jul 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
25 Jul 2024 in Senate:
Thank you Mr. Speaker, Sir. The County of Mombasa has since the inception of the devolution attracted adverse reports from the Office of the Auditor- General on the on matters human resource. Currently, the recurrent expenditure on human resource is about 48 per cent of the total budget of the County. This is contrary to the provisions of the Public Finance Management (PFM) Act. In the Statement the Committee should- (1) State the reasons behind the failure of the County Government of Mombasa to implement---
view
25 Jul 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I think I will have to start all over again. Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Labor and Social Welfare concerning the status of the Human Resource Department of the County Government of Mombasa. The County Government of Mombasa has since inception of devolution attracted adverse reports from the Auditor-General on matters human resources. Currently, the current expenditure on human resource is about 48 per cent of the total budget of the county. This is contrary to the provisions of the Public ...
view
24 Jul 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Mswada wa wazima moto na uokoaji wa waathiriwa wa mambo ya moto. Majanga ya moto yamekua mengi katika nchi yetu. Tunaona kaunti zetu hazijakua na mipango mahususi ya kupambana na majanga haya. Tumeona visa vya moto vinapotokea, mali na maisha hupotea wakati wa majanga kama haya. Mswada huu umekuja wakati mwafaka kabisa ili kuweka msingi sheria itakayosaidia mambo haya kwa siku za usoni. Tukianza kabisa, ukiangalia kaunti zetu zote, bajeti zao za zima moto ni ndogo sana, wakati huduma inasaidia pakubwa kukitokea dharura, kuokoa maisha na kuokoa mali. Tukiangalia bajeti zetu ...
view
24 Jul 2024 in Senate:
sehemu ya Likoni. Moto ukitokea pale au katika pande za Kisauni na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
24 Jul 2024 in Senate:
Changamwe, magari yamo. Hili ni jambo muhimu na ni lazima tuliangazie ili tuweke sheria ya msingi ya kuhakikisha kwamba tunapambana na matatizo kama haya. Bali na kuwa na vifaa, vile vile ni muhimu kuwa na wazima moto ambao wanaielewa kazi hii. Hii si kazi ya kawaida ambayo kila mtu anaweza kufanya. Mhusika ni lazima awe
view
24 Jul 2024 in Senate:
, anaweza kupanda ngazi na kukimbia pia. Sehemu nyingi hazina wafanyi kazi wa kutosha wa kuhudumu katika kitengo hiki. Bw. Spika, bali na vifaa tunahitaji kutekelezwa kwa mafunzo ya wazima moto na pia malipo yao yawe tofauti na wengine. Wanafanya kazi kwa mazingira magumu sana. Wanaingia sehemu zina moto pengine bila hata vifaa sawa sawa vya kupambana na moto huo. Ningeomba Maseneta wote waunge mkono ili tupate sheria ya kimsingi ya kuhakikisha kwamba mambo ya wazima moto yanahudumiwa kikamilifu yanapotokea. Naunga mkono Mswada huu.
view
24 Jul 2024 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono ripoti maalum ya ujumbe wa Bunge la Seneti katika Kikao cha 66 cha mkutano wa Commonwealth mjini Accra, Ghana. Jumuia ya Commonwealth ni moja katika jumuia za ulimwengu ambazo zimestawi kwa muda mrefu. Imeweza kujumuisha nchi ambazo zilitawaliwa na Waingereza wakati wa ukoloni. Kama alivyotangulia kusema, Sen. (Prof.) Kamar, ujumbe huu uliongozwa na Spika wa Bunge la Kitaifa, Mheshimiwa Wetangula. Upande wa Seneti, kiongozi wetu wa ujumbe alikuwa ni Sen. (Prof.) Kamar. Pamoja na Sen. Wamatinga, sote tulihudhuria na kushiriki pakubwa katika vikao pamoja na mijadala tofauti tofauti iliyoendelea ...
view
24 Jul 2024 in Senate:
Ripoti ni nzuri sana na imetoa kwa ufasaha zaidi mambo yale ambayo yalijadiliwa katika mkutano huo na zile nususi ambazo zilihusika katika mkutano huo. La msingi ni kuwa maazimio haya ambayo yamezungumziwa katika ripoti hii, yote yalikubaliwa pamoja na zile jumbe nyingine zote ambazo zilihudhuria mkutano huo. Ningependa kuguzia kwamba kulikuwa mijadala kuhusiana na ugaidi kama tishio kwa nchi. Suala hili ni muhimu sana kwa sababu hapa Kenya, tumepigwa mara kwa mara na makundi ya kigaidi. Kwa mfano, bomu lililipuliwa katika Ubalozi wa Marekani hapa Nairobi, mashambilio ya Garissa University na vile vile mashambulio ya Dusit2 Hotel na mengineyo mengi ...
view
24 Jul 2024 in Senate:
. Hivyo basi, ipo haja ya kutatua swala la umaskini wa kawi katika nchi zetu ili kuhakikisha kwamba tunalinda mazingira yetu na vile vile kupata kawi ambayo ni nafuu ili wananchi waweze kustawi. Pia, maswala ya haki za kibinadamu ambayo ni nyeti sana katika nchi zetu yalizungumziwa. Hilo lilizingatiwa na Jopo la Sita. Vile vile, swala la e-Parliament, yaani Bunge la kisasa, lilizungumziwa hususan wakati wa COVID-19. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view