Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 1994.

  • 7 Aug 2024 in Senate: I would like to inform my brother and colleague in the Finance and Budget Committee that there is a Lake Turkana and another river that traverses the centre of the county of Turkana known as River Turkwel. So, there is no shortage of water in Turkana County. Thank you. view
  • 7 Aug 2024 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia ripoti ya Kamati ya Fedha na Bajeti ya Bunge la Seneti kuhusiana na kupunguzwa kwa fedha zinazokwenda kwa mfuko wa usawa na Bunge la Kitaifa. Kifungu cha 204 cha Katiba yetu kinasema ya kwamba kutakuwa na mfuko wa usawa, yaani Equalization Fund, ambapo kila mwaka kutalipwa asili mia nusu ya fedha ambazo zimekusanywa na Serikali kama mapato ya mwaka uliopita. Accounts ambazo zinatumika kwa sasa ni za mwaka 2021--- view
  • 7 Aug 2024 in Senate: Bi. Spika wa Muda, Hazina ya Kitaifa ni National Treasury. Sasa sijui nimfunze Kiswahili ama nichangie mada. Ukiangalia katika Kamusi ya Kiswahili sanifu, mfuko ni fund kwa lugha ya Kiingereza. Kwa hivyo, Sen. Cherarkey, sijakosea chochote. Utajifunza mengi kutoka kwangu. Hesabu inayotumika kutenga fedha ni ya Mwaka 2020/2021 ambayo ndio ya karibu sana ilipitishwa na Bunge la Taifa. Mbali na kuwa pesa hizo ni chache sana kulingana na jinsi mapato ya Serikali yamekuwa, sasa tuko katika Mwaka 2024/2025 ambapo mapato yake ni tofauti na yale yaliyopatikana Mwaka 2020/2021. Jambo la pili ni kwamba pesa hizo zinatakiwa ziwe nusu ya mapato. ... view
  • 7 Aug 2024 in Senate: kupunguza Kshs790 milioni ili ibaki Kshs10,077,400,000. Hicho ni kinyume na Katiba. Sisi kama Seneti hatuwezi kukubali hilo. Jambo la tatu ni kwamba tangu hazina ya usawa ianzishwe, ni juzi tu, mwaka 2021, nilipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria Endelevu, yaani Committee on Delegated Legislation. Tuliweza kupitisha kanuni zinazotumika sasa kuendesha hazina hii. Kwa miaka kumi, hazina hii haikuwa na kanuni za kuendesha fedha hizo. Walipeleka kanuni zilizokataliwa na mahakama. Hivyo basi, kwa miaka kumi, miradi ilifanya bila malipo kwa sababu ya ukosefu wa sheria endelevu za kuhakikisha Hazina hii inafanya kazi. Ni masikitiko kwamba mpaka sasa, Hazina hii haijasaidia sehemu ... view
  • 7 Aug 2024 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Nilikuwa nasema kuwa sisi kama Seneti ni lazima tusimame kidete kwa sababu hazina hii ilitarajiwa kusaidia kuleta usawa katika nchi yetu. Hata hivyo, sehemu zinazopaswa kusaidika hazisaidiki japo karibu Kshs48 bilioni hazijatumika. Huo ni upetepetevu kwa upande wa Serikali. Ni kinyume na Katiba na hatuna budi kupinga. view
  • 6 Aug 2024 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 6 Aug 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, allow us to comment on this important Petition brought by Sen. Miraj. As you are aware, land is a very important issue--- view
  • 6 Aug 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir. view
  • 6 Aug 2024 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I can see the Chair of my Committee on Delegated Legislation. I do not know whether he is squatting or he is --- view
  • 6 Aug 2024 in Senate: Madam Temporary Speaker, I am a Member of the Committee on Finance and Budget of the Senate and participated in the whole process that resulted to this Report. First of all, Sen. Shakila and I dissented this Report and its recommendations. Even this morning, during the committee meeting, I said that we had a dissenting opinion and wondered why it was not captured in the report. Standing Order No.223(5) states that– view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus