12 Nov 2024 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili kuchangia Mswada wa Marekebisho wa Sheria ya Fedha 2023. Najiunga na maseneta wenzagu kukupongeza kwa Mswada huu ambao umekuja kujaribu kuwapa uhuru baraza za kaunti zetu ambazo ziko kwenye minyororo ya magavana wa kaunti zote 47. Nachukua fursa hii pia kutoa rambirambi zangu kwa mwendazake, Bw. Peter Oloo Aringo ambaye alileta Mswada wa kuidhibiti Bunge yani Parliamentary Service Commission (PSC) kwa mara ya kwanza. Alikuwa pia mwenyekiti wa kwanza wa Tume ya Bunge hili. Tume hii imeweza kuipa Bunge ule uhuru ambao hivi sasa kama Maseneta na Wabunge tunafurahia. Mswada huu ...
view
12 Nov 2024 in Senate:
Mara nyingi wanapotaka kusafiri ni lazima wasubiri pesa zitoke kwenye hazina kuu. Wakitaki pia kufanya miradi yao vile vile ni lazima wasubiri pesa. Hili linachangia pakubwa mara nyingi wao kufungia macho zile dhambi zinazofanywa na Executive katika kaunti hizi. Malamiko mengi katika kaunti ni kuwa Bunge hizo hazifanyi kazi kikamilifu. Hili limesababishwa na ule uoga waliyonao kwamba iwapo wataweza kufanya kazi yao kikamilifu, basi magavana na wengine wengi watakuwa katika shida kubwa ya utekelezaji wa miradi ambayo inafanyika katika kaunti hizo. Jambo lingine nilikuwa nikitaka kugusia ni kuwa kwa sasa, ijapokuwa kuna uwiano, yani mediation unaoendelea kati ya Bunge hili ...
view
30 Oct 2024 in Senate:
Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa mbili; moja ya kifo cha dada Victoria Mumbua ambaye alikuwa dereva wa taxi kule Mombasa. Kifo chake kilisikitisha wengi sana ikikumbukwa kwamba dada huyu alikuwa akifanya kazi yake ya halali ili kukidhi mahitaji yake na ya watoto wake wawili. Wakati nchi yetu inaingia katika himaya ya biashara ya masaa 24, bado hatujaweza kuhakikishia usalama wale wanaosaidia pakubwa kuendesha biashara hii. Tukizingatia, utaona kwamba wanaoendesha taxi wanafanya hiyo masaa 24. Hii ni kwa sababu biashara yao inafanyika kinyume na yale masaa ya zamani. Ni lazima Serikali ihakikishe kuwa usalama wa watu hawa ...
view
30 Oct 2024 in Senate:
Hii ni kwa sababu FIFA kule Zurich watakuja mbio kutetea FKF hapa nchini. Ni muhimu kwamba wakati huu, tunapojipanga kwa kura za FKF, mambo yote ya sheria ifuatwe ili tuondoe wale walowezi ambao wamekamua huyu ng’ombe wa FKF kwa muda mrefu, wakati hatuoni matokeo yoyote katika mpira nchini Kenya.
view
29 Oct 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, on a point of order.
view
29 Oct 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I was reading Standing Order No.105(2), which says that-
view
29 Oct 2024 in Senate:
“(2) If a Senator has sufficient reason to convince the Speaker that the Senator is unable to substantiate the allegations instantly, the Speaker shall require that such Senator substantiates the allegations not later than the next sitting day, failure to which the Senator shall be deemed to be disorderly within the meaning of Standing Order No.121 (Disorderly conduct) unless the Senator withdraws the allegations and gives a suitable apology if the Speaker so requires.”
view
29 Oct 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
29 Oct 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, you have allowed Senators to table evidence. This evidence has not been shown to the Members present. We need to see that evidence to confirm whether the allegations have been substantiated or not because we shall keep on rising on points of order.
view
29 Oct 2024 in Senate:
There is no one wasting time here. Could he withdraw that remark?
view