2 Mar 2021 in Senate:
Katika Kauli hiyo Kamati iangazie yafuatayo: (1)Ni pesa ngapi zimetengwa na Serikali kwa uboreshaji wa ujenzi wa barabara hiyo ya Mshomoroni-Mwakirunge kufikia hali ya barabara ya lami? (2)Kwa nini ujenzi wa barabara hiyo ambayo awali ulijumulishwa pamoja na barabara ya zamani ya Malindi haukukamilishwa? (3)Ni pesa ngapi zilitengwa kwa ujenzi wa barabara ya zamani ya Malindi kutoka Kengeleni hadi Bamburi mwisho?
view
18 Feb 2021 in Senate:
Asante, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii kujiunga na Maseneta wenzangu kuunga mkono Taarifa iliyoombwa na Seneta wa Makueni. Ni kweli kwamba Serikali inajaribu kulinda Shirika la Ndege la Kenya Airways kwa sababu hata Mombasa wamezuia mashirika mengine ya kuweza kusafirisha abiria kutoka nje. Wakati umefika sasa kuona kwamba Wakenya tunapata value for money ; hatuwezi kuwa tunaendelea ku subsidize ama kuitilia nguvu Kenya Airways wakati wao wenyewe wana uzembe na utepetevu katika kuendesha kazi zao. Tunaomba kwamba Kamati husika iingilie swala hili kwa undani zaidi kuhakikisha kwamba kama kuna jambo lolote ambalo linaweza kufanyika kuongeza idadi ya ndege zinazokuja ...
view
18 Feb 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise on a point of order to inquire about the report of the extrajudicial killings that was being conducted by the Committee on Justice, Legal Affairs and Human Rights under the chairmanship of Sen. Cherargei of Nandi County.
view
18 Feb 2021 in Senate:
We had done many hearings with regard to the extrajudicial killings. We visited Mombasa and Nairobi where a young boy was killed. The Committee was supposed to table a report before the House. That report has not been written or tabled before the House. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
18 Feb 2021 in Senate:
Killings are still going on. Last Thursday, they shot a young man of 24 years in Mombasa in broad daylight and two others were injured in the shootings. The first to be shot succumbed to injuries and was buried the same day in Mombasa.
view
18 Feb 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, this is a recurring theme that needs to be addressed as soon as possible because we are losing young men in unknown circumstances, but the State has not made any efforts to curb extrajudicial killings.
view
18 Feb 2021 in Senate:
I urge that you ask the Committee to table the report so that we debate it and see what measures can be recommended to end extrajudicial killings.
view
17 Feb 2021 in Senate:
Asante Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia malalamiko ambayo yameletwa na Sen. (Dr.) Mbito. Ninampongeza Sen. (Dr.) Mbito na shule hiyo ya Kitale kwa kuamua kuleta malalamiko haya katika Seneti. Malalamiko yaliyoletwa yanaonyesha vile ulaghai na ukosefu wa maadaili umewakumba baadhi ya viongozi katika Jamhuri yetu ya Kenya. Haiwezekani kwamba mtu aliyechaguliwa kama mlezi wa shule awe wa kwanza kuchukua ardhi ya shule kwa maslahi ya kibinafsi. Huo ni ukosefu was maadili. Ni lazima Bunge la Seneti ikemee suala kama hilo. Hii siyo kesi pekee, kuna kesi nyingi kama hizi. Kuna shule nyingi ambazo ardhi zao zilinyakuliwa wakati wa ...
view
17 Feb 2021 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kusema ukweli, matatizo ya madiwani waliohudumu yanasikitisha kwa sababu Bunge lilipitisha kwamba walipwe marupurupu ya kiinua mgongo, lakini mpaka sasa hawajalipwa. Nikizungumzia Mombasa, mwaka uliopita tuliwapoteza madiwani wanne wa zamani, wakiongozwa na Mheshimiwa Shekhu ambaye alikuwa Meya wa Mombasa, Mheshimiwa Juma Goshi aliyekuwa Naibu wa Meya, Mheshimiwa Seidh Mathias na Mheshimiwa Mwakunyapa. Wote hao waliaga wakisubiri pesa hizi ili ziweze kuwasaidia katika maisha yao. Bw. Spika, nina madiwani wengine wawili ambao walistaafu na wako vitandani hivi sasa. Hawana pension yoyote na wanapata shida ya pesa za matibabu. Kuongezea pia ni kuwa pesa za ...
view