Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1611 to 1620 of 1994.

  • 6 Nov 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I beg to give notice of the following Motion:- view
  • 6 Nov 2019 in Senate: THAT, the Senate notes the Report of the Parliament of Kenya Delegation to the 64th Commonwealth Parliamentary Conference (CPC) held in Kampala, Uganda from 22nd to 29th September, 2019. view
  • 6 Nov 2019 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Arifa iliyoletwa Bungeni na Sen. Wetangula. Kusema ukweli, mazingira ambayo watoto wanafanyia mitihani yamebadilika sana, kwa sababu wengi wao wanatishiwa na uwepo wa polisi waliojihami, mahali ambapo hapahitajiki silaha kama hizo. Bw. Spika, mitihani imefanywa nchini hata kabla ya Uhuru, na mitihani bado itaendelea kufanyika katika siku za usoni. Lakini ufisadi ndio umesababisha mambo haya yote, na sasa watu wanaiba mitihani. Utapata kuwa watu wengine wanenda katika vyumba vya mtihani kuwafanyia wanafunzi mitihani. Matatizo yalioko hayapaswi kuwafanya wanafunzi wawe na hofu wanpoingia katika vyumba vya mitihani. Hapo awali, kabla ya shule ... view
  • 24 Oct 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker Sir. My apologies for coming in late. We overstayed in our Committee. Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order 47(1) to make a Statement on an issue of national concern, namely; the purported appointment of The Mama Ngina Waterfront Management Board. Mr. Speaker view
  • 23 Oct 2019 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I understand that the delegation that went to receive this award had no gender, and I know that Sen. Shiyonga is an ardent supporter of the gender rule. Thank you. view
  • 23 Oct 2019 in Senate: seconded. view
  • 23 Oct 2019 in Senate: Asante Bi. Spika wa Muda--- view
  • 23 Oct 2019 in Senate: Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii--- view
  • 23 Oct 2019 in Senate: Naomba Seneta wa Jiji la Nairobi atupe fursa ya kuhudumia watu wetu pia sisi. view
  • 23 Oct 2019 in Senate: Bi. Spika wa Muda, Seneta wa Jiji la Nairobi alikuwa amesimama pamoja na Seneta Maalum wa Kiambu, Sen. Mwaura wakishauriana kwa sauti kubwa ambayo ni kinyume na Kanuni za Bunge. Kwa hivyo nikawaomba kwamba watupe fursa ya kuhudumia wananchi wetu. Kwa hivyo ilikuwa ni sawa Seneta wa Nairobi achukue kiti chake ili aweze kuona vile atawafanyia kazi watu wa Nairobi. Asante, Bi. Spika wa Muda. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus