13 Mar 2018 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
13 Mar 2018 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order 46 (2) (b) to seek a Statement from the Chairperson of the Standing Committee on Roads and Transportation regarding the management of Kenya Ports Authority (KPA). In the Statement the Chairperson should:- (1) Explain the circumstances that led to the reshuffling of top management officials at the KPA (2) State the rules and measures that have been put in place to shield the management of the KPA from interference in the running of the affairs of the Mombasa Port. Thank you.
view
13 Mar 2018 in Senate:
It seems to be the standard. I will accept the two weeks.
view
6 Mar 2018 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I wish to congratulate my colleague, Sen. Kang’ata, for this timely Petition. Garbage is a real problem. For instance, in Mombasa, garbage collection companies are claiming over Kshs300million in unpaid bills for garbage that is said to have been collected. If you drive across the Makupa Causeway, which is the entry to Mombasa Town and the rest of the former Coast Province, you will find piles and piles of garbage that is being dumped without any use to mwananchi and the county in general. Mr. Speaker, Sir, I wish to support the Petition and say that we ...
view
6 Mar 2018 in Senate:
Asante, Bi Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kuchukua fursa hii kutuma rambirambi zangu pamoja na zile za watu wa Mombasa kwa watu wa Mlima Elgon na Bungoma, kwa mkasa huu wa mauaji ya kiholela ya watu thelathini, wakiwemo watoto, kina mama na wasichana ambao hawakuwa na hatia yoyote. Bi Spika wa Muda, ni jukumu la Serikali kulinda maisha na mali ya Wakenya au watu wowote walioko nchini Kenya. Hilo ni jukumu ambalo tungependa kulisisitiza kwa sababu tumeona kumekuwa na utepetevu kwa Serikali kuhusiana na usalama wa wananchi na mali yao. Juzi tumeona katika Kaunti ya Bungoma, kila usiku na kila ...
view
27 Feb 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order 46 (2) (b) to seek a Statement from the Chairperson of the Standing Committee on Land, Environment and Natural Resources, regarding compensation to persons displaced from their land to pave way for the construction of the Standard Gauge Railway (SGR). In the Statement, the Chairperson should state:- (1) The number of people displaced by the SGR in Sectors zero to 20 in Mombasa County. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard ...
view
27 Feb 2018 in Senate:
It is okay, Mr. Speaker, Sir. PROVISION OF WATER SERVICES TO KITENGELA TOWNSHIP AND ITS ENVIRONS
view
27 Feb 2018 in Senate:
Ahsante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja ya kuchaguliwa kwa makamishna wapya wa Tume ya Huduma za Bunge. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate
view
21 Feb 2018 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Nilitaka kudandia Motion ya Sen. (Dr.) Musuruve.
view
14 Feb 2018 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Ningechangia Mswada huu kama ifuatavyo. Neno harambee ni Kiswahili sanifu. “Halambee” si sawa na “harambee”. Harambee huamanisha kuvuta pamoja. Wale ambao ni wanafunzi wa Kiswahili mkiangalia kamusi za mwanzo kabisa utaona kana neno lililoko ni halambee sio harambee. Harambee ilikuja The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate
view
14 Feb 2018 in Senate:
Ahsante Mhe. Nderitu. Kwa hakika hiyo si shida ya maharaja kwa sababu ni shida ambayo ilijitokeza na watu wakakubali kwamba badala ya kutumia neno “halambe” tulitumie neno “harambe” kwa sababu linakubalika zaidi kwa watu kuliko halambe ambayo ilikuwa inakubalika kwa jamii ya waswahili peke yake. Kwa hivyo, hapo sina ugomvi wowote na Mhe. Nderitu. Bw. Spika, kwa wakati tulio nao sasa na shughuli za Bunge hili la sasa, kama walivyotangulia wenzangu kusema, itakuwa ni kuharibu wakati tukijadili maswala kama haya. Harambe iliyotumika hapa ni ya Kenya na si ya India. Tunajua harambe ya India ni tofauti na ya Kenya. Hivyo ...
view
28 Sep 2017 in Senate:
Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa fursa hii ya Kuchangia Hoja hii ya kuchaguliwa kwa Kamati hii maalum ya Seneti kujadili mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Mwanzo, ningependa kumkosoa mzungumzaji aliyetangulia kusema kuwa maandamano sio public participation . Kwa hakika, hio ndio mojawapo ya mbinu wanazotumia wananchi katika public participation kupima mambo yao. Nikirejea kwa Hoja iliyopendekezwa, Hoja hii inaturudisha nyuma zaidi ya miaka ishirini kutoka tulipoanza mchakato wa vyama vingi nchini Kenya. Mwaka wa 1988,
view