Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 341 to 350 of 1994.

  • 5 Dec 2023 in Senate: Bw. Spika, jambo lingine la kusikitisha ni kwamba juzi, Shirika la Kenya view
  • 5 Dec 2023 in Senate: ambalo pia liko Magongo, Kaunti ya Mombasa, lilipelekwa likawekwa pamoja na Shirika la Kenya Pipeline Company Limited. Kama Kenya PipelineCompany Limited ilikuwa yauzwa, kwa nini wakafanya haraka ya kuliunganisha na Shirika la Kenya Petroleum Refineries? Kutoka Kenya Petroleum Refineries isimamishwe mwaka 2013, mpaka sasa bado inaendelea kufanya kazi ya kuweka mafuta na wanapata faida ambayo inaenda kwa Serikali. Tunapoomboleza hayati Sifuna, sisi ambao tuko uongozini sasa ni lazima tuwe mstari wa mbele kulinda maslahi ya wananchi ambao wametuchagua. Hatuwezi kufanya hivyo ikiwa tutaangalia maslahi ya kibinafsi. Nimefurahi kwamba Sen. Chute na Sen. Wamatinga wameweza kuona ukweli na wanaendelea pole pole ... view

  • 29 Nov 2023 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Ripoti ya Kamati ya uchunguzi wa Shakahola. Naipongeza Kamati hii ambayo iliongozwa na Seneta wa Gatuzi la Tana River, Sen. Mungatana. Nikiwa mmoja wa wanakamati, tulihudumu katika Kamati hiyo kwa hali iliyokuwa ngumu kidogo. Hii ni kwa sababu, baadhi ya mambo tuliyoyapata yalihitaji uchunguzi wa kina. Lakini, tulizuiliwa kimfuko kufanya uchunguzi na kuwaona na kuwahoji baadhi ya mashahidi. Kazi ya Kamati ilikuwa ngumu kidogo, lakini tulijitahidi tukaja na Ripoti ambayo ni muhimu sana kwa nchi yetu. Bw. Naibu Spika, swala hili la mkurupuko wa mashirika ya kidini ni jambo ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Kuna baadhi ya mambo ambayo bado yanaendelea katika maswala ya Shakahola. Kwa mfano, kuna wale ambao walichukuliwa kama manusura katika ile sehemu Pastor Mackenzie alikuwa anahudumu. Wale walichukuliwa sio wale waliyofanya mauaji au vitendo vya kinyama, lakini waathiriwa ambao walipatikana pale. Mpaka sasa, waathiriwa hawa bado wako Shimo la Tewa. Wamewekwa pale kama hifadhi. Mnamo Mwezi wa Nane kabla kupelekwa katika gereza la Shimo la Tewa, walikuwa wamepewa hifadhi katika shule moja ya kibinafsi pale Mtwapa. Tarehe 12 Agosti, 2023, walikuwa wamepanga kujiuwa wote pamoja. Lakini, baadhi yao walitoa hizi habari na maafisa wa usalama wakawachukuwa wote wakawapeleka katika gereza ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Saa zingine, ukweli unauma. Watakuja kama hawa waweze kupinga na kujaribu kusitisha mtiririko wa mawazo ya wale wanaochangia. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Mahakama imefanya kazi nzuri hadi sasa . Ijapokuwa, mahakama za awali zilimpa Pastor Mackenzie uhuru mwingi usiostahili kupewa kulingana na maswala ambayo yalikuwa yanachunguzwa wakati ule. Tumeona pia kuna watu wengi waliyohusika katika maswala ya Shakahola, wale ambao tunaita First Responders kwa Kiingereza, kama vile; Kenya Red Cross, yale mashirika ya haki za kibinadamu, polisi na watu wa upausaji; almaarufu pathologist. Wamefanya kazi nzuri kabisa kusaidia jamii na waathiriwa kupata nafuu na ushauri kutokana na majanga yaliyowakumba. Red Cross wametoa mchango mkubwa. Wale walioenda kule kwanza, hakukuwa na mfumo wowote uliyowekwa. Lakini kwa uwezo wa Redcross, waliweza kuchangia pakubwa. Mpaka ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, ningetaka kumjibu Sen. Cherarkey. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus