Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 351 to 360 of 1994.

  • 29 Nov 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, yale yote niliyosema yako katika Ripoti hii. Shida ni Sen. Cherarkey ni kama wale wanagenzi. Hajasoma Ripoti lakini akisikia Waziri ametajwa, anaruka. Kumetajwa Mawaziri watatu hapa na watu wakakubaliana kwamba, view
  • 29 Nov 2023 in Senate: . Alikua wapi? Katika Bunge hili, Mawaziri watatu wametajwa. Kiongozi wa Wengi yuko pale na pia Spika pia akasema waadhibiwe. Leo ni Jumatano na saa zingine Sen. Cherarkey--- view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, ngoja kidogo. Jumatano iliyopita asubuhi, Sen. Cherarkey alifukuzwa hapa. Kwa hivyo, kama anataka kufukuzwa tena, aendelee kunikatiza. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, dakika zangu zilisimamishwa. Bado niko na kama dakika kumi na tano. Nilikua nasema kwamba Waziri Aisha Jumwa aliyekua Mbunge wa zamani wa eneo Bunge la Malindi, kule eneo la Shakahola liko, alikua shahidi muhimu kuja kwa hii Kamati kueleza ni mambo gani aliona hapo awali kuhusiana na Pastor Mackenzie. Haya mambo, walinda usalama hawakuyachunguza ili kuhakikisha tukio kama hili la Shakahola limedhibitiwa. Tumeona kwamba Dr. Johansen Oduor, mkuu wa upasuaji, hakuruhusiwa kuja mbele ya Kamati kutoa ushahidi. Hatujui ni jambo gani ambalo Dr. Oduor angezungumza ambalo lingekua kinyume na usalama wa Taifa. Tulimuona mkuu wa usalama, Mhe. ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: masharika yana utaalamu mwingi na zina vifaa vingi vya kufanya kazi. Lakini, jambo la kusikitisha ni kwamba, budget ama pesa zinazotengwa kwa shuguli zao muhimu zimekua haba sana. Tulipokua pale, hata ule wino wa kuchukua alama za vidole ili upate certificate of view
  • 29 Nov 2023 in Senate: ilikua imepungua. Mikataba mingi wamefanya na mashirika yanaleta vile vifaa kame yale mahabara yanayotumika kuchunguza mambo mengi, imekwisha na pesa hazijalipwa. Bw. Naibu Spika, ipo haja ya Serikali, sababu DCI inafanya uchunguzi wa maswala ya jinai na uhalifu. Ni shirika muhimu katika nchi yetu kwa hivyo, lazima iweze kupata pesa za kutosha ili izuie maafa kama haya ya Shakahola na mengine ambayo yanaweza kutokea katika nchi yetu ya Kenya. Bw. Spika, naunga mkono Ripoti hii. Ningependa kwamza Seneti iweze kuzikubali zile taasisi ambazo zimeombwa ziweze kuifanyia kazi, tuone kwamba mashirika ya kidini ambayo yana taswishi na yanafanya mambo kinyume cha ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, in line with the suggestion by the Senate Majority Leader, maybe we could involve the different committees. For instance, recommendations that touch on security be referred to the National Security Committee, legal recommendations be referred to the Justice Legal and Human Rights Committee (JLAHR), and the rest will follow through. Just like we did with the Report on a dam. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Yes, Solai Dam report. I thank you. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, the committee was born in this House. Now that the Report has been made to this House, it may be resolved that we take it back to the Liaison Committee, then the Liaison Committee will involve the different committees. I have no problem with your suggestion. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus