Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 361 to 370 of 1995.

  • 29 Nov 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, the committee was born in this House. Now that the Report has been made to this House, it may be resolved that we take it back to the Liaison Committee, then the Liaison Committee will involve the different committees. I have no problem with your suggestion. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, we will need clarification from the membership of the Committee on the issue of 95 and 429 bodies. When the resolution to form the Committee was made, at the time, the people mentioned were 95. This is why the heading of the Report is ‘Shakahola Ad hoc Committee investigating the 95 people who were mentioned initially as the victims of the Shakahola massacre. During the investigation, it came to light that 425 or more people had died. As we were writing our report, exhumations were still being done and bodies were being discovered from the site. ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I have listened to Sen. Orwoba alleging that the select Committee is under the guidance of the Liaison Committee. Under which Standing Order does it provide that the select Committee is under the guidance of the Liaison Committee? Number two, I have looked at the Standing Orders that she had alluded to. None of them supports the assertions that she is making before this House. We know she may be a novice Senator, but the mistakes that she is making are not proper. view
  • 28 Nov 2023 in Senate: Bw. Spika, pia najiunga na Kiongozi wa Wengi kupongeza Kamati ya Sheria na Haki ya Bunge la Seneti kwa kazi nzuri ambayo imefanya. Kusoma ardhilhali tatu kwa muda mfupi uliowekwa wa siku 60, ni kazi kubwa ambayo imefanywa na Kamati hiyo. Sisi wote tunaipongeza. Pia nimesimama kwa masikitiko kwamba mwezi wa saba nilileta maombi ya taarifa kuhusiana na ukosefu wa huduma za lift na hali ya usafi katika Jumba la Bima, Mjini Mombasa. Kuna pia Taarifa kuhusiana na zabuni zilizotolewa na mashirika ya Kenya Rural Roads Authority (KeRRA) na Kenya Urban Roads Authority (KURA) kwa mji wa Mombasa, miaka kumi ... view
  • 28 Nov 2023 in Senate: Bw. Spika, malalamiko yangu ni kwamba mnamo mwezi wa saba, niliomba Taarifa kuhusiana na maswala mawili. Ya kwanza ni ukosefu wa huduma ya lifti katika Jumba la Bima Towers mjini Mombasa. Jumba hili lina gorofa kuma na nne na linahudumia wananchi kuhusiana na maswala ya usoroveya. Kuna pia Wizara tatu za Baraza la Kaunti ya Mombasa zinazohudumu ndani ya jumba hili. view
  • 28 Nov 2023 in Senate: Bw. Spika, niliomba Taarifa kuhusiana na ukosefu wa huduma za maji na lifti katika jumba la Bima Towers, Kaunti ya Mombasa. Jumba hili lina wizara karibu tatu za Serikali ya Kaunti za Mombasa ambazo wananchi huenda kutafuta huduma huko. Maji hupelekwa na mkokoteni huko na hiyo ni kinyume na matarajio ya wengi katika Kaunti ya Mombasa. Taarifa ya pili niliyoomba ni orodha ya zabuni zilizotolewa na mashirika ya KeRRA na KURA katika Kaunti ya Mombasa kwa muda wa miaka kumi ya ugatuzi. Hii ni kwa sababu kuna kero kwamba hakuna barabara zinafadhiliwa na mashirika haya mawili ya KeRRA na KURA ... view
  • 16 Nov 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kupinga Hoja ya kupelekwa kwa polisi katika nchi ya Haiti. Vifungu vya 240 na 241 vya Katiba vinasema kuwa majeshi ni tofauti na polisi. Majeshi ya Kenya yana jumuisha jeshi la nchi kavu, jeshi la angani na wanamaji. Polisi wametajwa katika Kifungu cha 243. Kikatiba ni makosa kupeleka vikosi vya polisi katika nchi ya Haiti ambayo inajulikana kwa utovu wa usalama ulimwenguni. Tayari nchi hii haijafaulu kimaendeleo. Jambo la pili ambalo ninapinga ni kwamba katika sheria ya National Police view

  • 16 Nov 2023 in Senate: Kifungu cha 108, police service ni polisi ambao wanatulinda katika nchi ya Kenya. Polisi hawana majukumu ya kufanya ulinzi katika nchi za kigeni isipokuwa mahali ambapo kuna reciprocation, yaani tunawapa polisi wetu na wale pia wanatupa polisi wao kuja kujifunza kazi katika nchi yetu. Wakati huu nchi yetu haina polisi wa kutosha. Inasikitisha kwa sababu watu wanaendelea kuuawa katika sehemu mbali mbali nchini Kenya. Katika Kaunti ya Baringo na sehemu za Turkana, watu wanauliwa kiholela. Sehemu nyingi katika nchi yetu zina utovu wa usalama. Ni makosa kwamba sisi wenyewe hatuna polisi wa kutosha na tunawapeleka wale wachache tulio nao katika ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus