24 May 2023 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa kuunga mkono Ardhihali ambayo imeletwa Bungeni na Julius Wairiuku Wanjohi kuhusiana na kutotekelezwa kwa maazimio ya kuwaajiri wafanyikazi katika Kaunti ya Nyeri. Bw. Naibu Spika, ni masikitiko kwamba ni miaka 10 sasa na hao wafanyikazi hawajaandikwa kazi na Kaunti ya Nyeri. Kama tunavyojua, stimulus package ilikwisha, Serikali za kaunti zikaanza kazi na hawa wakasahaulika kabisa kutokana na utepetevu wa Serikali ya Kaunti ya Nyeri. Ningependa kuongezea kuwa hawa wakufunzi wanafanya kazi muhimu. Wale wote ambao hawafaulu kwenda kwa taasisi ama chuo kikuu, hujifunza kazi za mikono katika taasisi hizi ambazo wakufunzi hawa wanafanya ...
view
24 May 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to give Notice of the following Motion - THAT, AWARE THAT rapid urbanization, as experienced in most Kenyan towns contributes to a significant portion of greenhouse gas emissions leading to environmental degradation; FURTHER AWARE THAT factors associated with urbanization, including changes to a more sedentary lifestyle, diet and environment have resulted in an increase in the prevalence of non-communicable diseases such as cardiovascular disease, diabetes, and cancer; APPRECIATING THAT prioritizing sustainability and environmental responsibility creates liveable, healthy and resilient communities for present and future generations; NOW THEREFORE, the Senate urges the:
view
24 May 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
24 May 2023 in Senate:
(i) Ministry of Roads and Transport to review the standards for construction of public roads to require the incorporation of dedicated lanes and tracks for exclusive use by non-motorised forms of transport to encourage their use for reduced air and noise pollution and improved overall public health; (ii) Ministry of Environment and Forestry and the Ministry of Roads and Transport, in collaboration with the Council of Governors (CoG) to develop a policy framework to mitigate the impact of climate change by guiding the - (a) dedication of sections of the respective Central Business Districts (CBDs) on specified days as car-free ...
view
23 May 2023 in Senate:
Asante Mhe. Spika. Nimesimama kuunga mkono maombi ya taarifa ya Sen. Chimera kuhusiana na Taarifa ya kwanza. Hili swala la wakaazi wa Ukunda ambao ardhi yao ilichukuliwa kwa sababu ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Ukunda ni swala ambalo limekuwa donda sugu. Ninakumbuka, tulizuru mahali pale mnamo mwaka 2018 tukiwa na Kamati ya Fedha, ikiongonzwa na Sen. M. Kajwang’. Wahusika pia walikuja katika Bunge hili la Senate kueleza masaibu yanayowapata kwa ucheleweshaji wa kulipwa kwa ile ardhi ambayo ilichuliwa. Kwa hivyo, ni jambo ambalo limekuwa donda sugu. Niliona juzi Kiongozi wa Serikali alisema ya kwamba National Land Commission (NLC ...
view
23 May 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
23 May 2023 in Senate:
Swala hilo ni kwamba tunapita mipaka ya sheria kwa sababu sheria inasema ya kwamba, maswala ya kutathmini, yaani valuation, ni swala ambalo litafanywa na NLC. Ikiwa Rais wa nchi atasema ya kwamba ameikataza NLC wakati sheria inairuhusu NLC ifanye kazi hiyo, ina maana ya kwamba anaingilia kazi za tume huru katika nchi yetu ya Kenya. Tunaomba NLC iharakishe ulipaji wa watu hawa na sehemu yoyote nyinyine ambayo ardhi imechukuliwa na watu hawajalipwa, walipwe kwa haraka. Hata hivyo, tunapinga vikali kauli ya Rais kusema ya kwamba NLC hawataweza tena kutathmini ardhi ambazo zinachukuliwa kwa miradi ya Serikali. Asante, Bw. Spika.
view
23 May 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
23 May 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, the honourable Senator for Nandi is misleading the House in saying that the counties are going to get Kshs425 billion in conditional grants. What the Division of Revenue Act (DORA) says is that the counties are going to share Kshs385.425 billion. There was nothing like Kshs425 billion in the DORA that was passed by this House and assented to by the President, I think three weeks ago. Thank you, Mr. Speaker, Sir.
view
4 May 2023 in Senate:
On a point of information.
view