Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 981 to 990 of 1995.

  • 11 Jan 2022 in Senate: Madam Temporary Speaker, I second. view
  • 11 Jan 2022 in Senate: Madam Temporary Speaker, I second. view
  • 11 Jan 2022 in Senate: Madam Temporary Speaker, I second. view
  • 21 Dec 2021 in Senate: Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Ripoti ya Kamati ya Fedha na Bajeti ya Bunge la Seneti kuhusiana na taarifa ya sera ya bajeti ya mwaka 2022/2023. Kwanza, naipongeza Kamati hii kwa kuiangalia kwa kikamilifu taarifa hii ya sera kulingana na Kanuni ya Seneti na Katiba yetu ya Kenya. Taarifa hii inatupa mtazamo wa vile Bajeti ya mwaka ujao itakavyo kuwa katika maswala yote ambayo yameangaziwa katika sera hiyo. Bi. Naibu Spika, pili, nakubaliana na mapendekezo ya Kamati hii kwamba hazina kuu ifanye makerebisho ili kuzikinga kaunti zetu dhidi ya mfutuko wa bei au inflation na kwamba ... view
  • 21 Dec 2021 in Senate: Kuanzia Jumatatu hadi Jumapili, ukienda katika Uwanja wa Kimataifa wa Zanzibar, utapata ndege nyingi za kimataifa kama Qatar Airways, Emirates Airways, na vile vile, ndege nyingi za kutoka Europa ambazo zinawasafirisha watalii moja kwa moja hadi Zanzibar. Kupatikana kwa ndege hizo za kimataifa kumeinua sana uchumi wa Kisiwa cha Zanzibar. Bi. Naibu Spika, nina ushahidi kamili kwamba zamani Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi ulioko Mombasa ulipojengwa ndege zote za kimataifa zilikuwa zinatua Mombasa. Ndege za kimataifa kama Lufthansa, Air France, British Airways, Condor Airlines na zingine nyingi zilikuwa zinaleta watalii mara kwa mara ili kuinua biashara ya utalii. ... view
  • 21 Dec 2021 in Senate: ambayo ni nadra sana kupatikana kama wasemavyo Waingereza. Kama Serikali Kuu ina nia ya kuinua bishara, inafaa kutafuta waekezaji wa kibinafsi ili waende wakainue biashara katika Bandari ya Lamu kwa sababu hiyo ndio bandari ambayo kwa sasa inaweza sheheri biashara kwa kikubwa. Mpango wa kubinafsisha Container Terminal 2 Mombasa inafaa kusimamishwa kwa sababu biashara kwa sasa ni nzuri na watu wanapata faida. Sioni sababu gani Serikali inabinafsisha kitu ambacho kinapata faida. Kenya ina ufuo wa bahari mkubwa lakini hatuna shirika la meli. Hakuna meli hata moja inayomilikiwa na Serikali ya Kenya. Kwa hivyo, sioni sababu gani Kenya Airways view
  • 21 Dec 2021 in Senate: isiwachiliwe kufa kifo cha kawaida kwa sababu hiyo ni njia moja ambayo pesa za serikali zinaliwa bila kuchunguzwa na mhasibu mkuu wa Serikali ya Kenya. Hivi majuzi, tulipata habari kwamba kuna meli moja ambayo imebeba mabaki ya sumu ya nuclear kutoka Ulaya zinazokuja kutupwa Afrika. Kufikia jana ripoti zilikuwa kwamba meli hiyo ilikuwa imewasili katika Bandari ya Mombasa. Naomba Serikali ihakikishie nchi kwamba meli hiyo itasafirishwa na Navy ya Kenya mpaka bahari kuu ili kuhakikisha kwamba mabaki hayo ya sumu hayatupwi nchini kwetu na kutuletea madhara. Mabaki hayo ya sumu kule Ulaya yanachunguzwa na Greenbelt Movement lakini hapa Kenya, sisi ... view
  • 1 Dec 2021 in Senate: Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuzungumzia Hotuba ya Rais kwa Bunge jana tarehe 30 Novemba, 2021. Kwanza ninanpongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa Hotuba hiyo ambayo Wakenya wengi walikua wanaisubiri kwa hamu, kwa sababu huu ni mwongozo na ruwaza ya yale mambo anaweza na anatarajia kufanya na Serikali yake kwa muda unaofuata. Kwa sababu uchumi wetu ulipata pigo baada ya kuvamiwa na janga la korona na nzige mwaka jana, Mhe. Rais alitetea uchumi wetu na vile maendeleo mengine yamefanyika hapa nchini. view
  • 1 Dec 2021 in Senate: Bi. Naibu Spika, nampongeza Rais Uhuru Kenyatta na Baraza lake la Mawaziri na wote ambao wamehusika katika kuimarisha uchumi licha ya majanga ambayo tumekuwa nayo nchini. Pia nampongeza Mhe. Rais kwa kuweza kuidhibiti hali ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 1 Dec 2021 in Senate: uchumi hususan mambo ya fedha. Ijapokua dola imeimarika na shilingi yetu ikapata misukosuko, lakini tumeona nchi yetu ina utulivu katika masuala ya kifedha. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus